Hapo umejisingizia kabisaa, Mungu anakuona ujueNitamsamehe tu, maisha yaendelee.
Hapana, ujue makosa kama hayo yanatokea kwa Wanadamu...ila nitajiuliza kwnz amekosa nini mpaka afanye hivyo?Hapo umejisingizia kabisaa, Mungu anakuona ujue
Mbona kama Siamini jamanii.... Sema ukweli bhanaa, hamna kinachouma ka mke kukulwa Azarel!!!!Hapana, ujue makosa kama hayo yanatokea kwa Wanadamu...ila nitajiuliza kwnz amekosa nini mpaka afanye hivyo?
Kweli kuchapiwa mke inauma sana...! Mimi maamuzi yatakuja hapo hapo nitakapowafumania...!Mbona kama Siamini jamanii.... Sema ukweli bhanaa, hamna kinachouma ka mke kukulwa Azarel!!!!
Hilo ndo jibu sasaaa....Kweli kuchapiwa mke inauma sana...! Mimi maamuzi yatakuja hapo hapo nitakapowafumania...!
Wabillah Tawfiq,
NimeipendaaMara paaap lisu kapona na yuko mjengoni kama kawa.
Mara paaap 2020 Zitto rais, Mbowe waziri mkuu, lisu Waziri wa sheria, Maalimu rais Zenji.
Mara paaap mkulu chali 2020.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]kudaadeki nawalipua..mtungi wa gesi utawahusu humo chumbaniNi mkeo wa ndoa, unampenda sana, unamtunza na unamjali, kwa kila hali
Mara paap unamkuta kitandani na lijamaa linamwaga uno hatari, kibaya zaidi mkeo anampa kwa style ambazo wewe ukimuomba anakukatalia.
Mara aseme anatumia, yani we daily kifo cha mende alafu unamkuta anagegedwa chumbani kwako, kitanda chako tena akitoa vilio vya kimahaba ilihali wee ukimgegeda limetulia tu macho makavu inavyoskitisha zaid, jamaa uliyemfuma nae ni, mbavu ile mbaya alafu wewe hata pushup 5 huwezi.
Utafanyaje mkuu katika hali hiyo?
Mimi binafsi nitapambana na hali yangu, how about u?
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Sijui kwanini siku hizi idadi kubwa ya akina kaoge ni wabeba vyuma..