Mara paaap 3rd round nayo hiyo

Mara paaap 3rd round nayo hiyo

badali

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2017
Posts
212
Reaction score
81
Baada ya kutoka matokeo kwenye awamu ya kwanza, tulilishuhudia hili la wanafunzi wengi kupata vyuo zaid ya kimoja.
Je likitokezea tena kwenye 2nd round si litapelekea kuwepo kwa 3rd round?
Huu ni mtizamo tu.
 
Kinacho ongeza round sio wanafunzi kuchaguliwa zaidi ya chuo kimoja (directly) bali ni wanafunzi wengi kukosa udahili kwa sababu tofauti. Inafungua dirisha (raundi nyingine ) ili kuwapa hawa nafasi. Confirmation inasolve issue ya multiple selections.
 
Kaimu katibu mkuu wa TCU ametoka kutangaza TBC awamu ya tatu live
 
Baada ya kutoka matokeo kwenye awamu ya kwanza, tulilishuhudia hili la wanafunzi wengi kupata vyuo zaid ya kimoja.
Je likitokezea tena kwenye 2nd round si litapelekea kuwepo kwa 3rd round?
Huu ni mtizamo tu.
Mara paap 3rd round haipo
 
Siwakosoi tarehe ya kufngua ni vile naona tu hawakujipanga na system yao hii
Sasa ivi ni katikat ya mwez ila bado Kuna watu hawajui kma watapata chuo ama lah na bado wanataka watoe third round??!!! Kma round ya pil imechkua mda wote huu hiyo ya tatu je
 
Jamani hiyo second round selection bado tu kutolewa?? Mwenye hata fununu hasa UDOM maana naona ndoto inazima mapema.
 
Acha tuangalie kuanzia kesho hadi ijumaa nahisi tutakua tumeshapata majibu.
 
sawa mkuu, ila kusema ukweli mfumo wa msimu huu umenikatisha tamaa sana. Na ni kama ndoto za vijana wengi hasa tuliomaliza stashahada na kutaka kuendelea shahada zitakufa kama mfumo huu utaendelea kutumika bila kufanyiwa maboresho au kufutwa kabisa.
 
AVN si umepata? Na GPA yako si imefika 3.0 au zaid?
 
kila kitu kipo sawa avn to gpa 4.0 sema kada niliyopo (afya) system hii imetubagua sana watu wa diploma. Imagine UDOM MD with equivalent entry,chances zilikua 10 tu na selection zao hamna mtu aliyepata if not just one person, kwa mantiki hiyo walipiga chini hata hao kumi, Muhas kulikua na nafasi 20, Kairuki 24, Suza 05 tu
 
Yeah nimeona, ila ujue vyuo vyote vinawapa kipaumbele kwa sababu utaona programme inachukua watu 55. Ila diploma katika hao 55 ni 5 tu
 
Kuwa jasiri na kama umeomba chuo zaid ya 1 basi unaweza kupata mkuu
 
Yeah nimeona, ila ujue vyuo vyote vinawapa kipaumbele kwa sababu utaona programme inachukua watu 55. Ila diploma katika hao 55 ni 5 tu
anyway, nasubiria muujiza kwenye second selection. Mungu asimamie hili
 
Back
Top Bottom