Mara nyingi wanawake mnaumizana wenyewe lakini mnatusingizia wanaume!

Mara nyingi wanawake mnaumizana wenyewe lakini mnatusingizia wanaume!

Husninyo; Sasa akihamia huko weye utafurahishwa na nani? Na kama utatoke nje ili kulipiza kisasi utastahili zawadi gani?
 
Last edited by a moderator:
umeona eeeh! inahitaji roho ya chuma.

Siweziiiiiiiii miye akuuuuu! Ukiniona nimeweza ujue na Mimi nna kidumu, mume akiwa zamu kwa zubeda miye aku, nna x wangu! Infact tutaachana tuu! Mume anauma, siyo dera twaweza valiana lolz!
 
Hapo ndo huwa nashangaa wanawake weeengi huwa wanakaupungufu haka, yaani hasemi na mumewe eti aenda kusema na mke mwenzie cjui kwanini, wanaogopa au nini, wanahsindwa kuelew akwamba vile ulivyotongozwa ww hadi ukaolewa vile vile na mwenzio kamwagiwa sera hizo hizo, wanwume wengi huwa wanadanganya anaweza kukwambia tumeachana na mke wangu au amekufa kumbe ni uongo. Sema na mumeo kwanza 1 mwambie ni jins gani anakudhalilisha 2mkumbushe kile kiapo mlichokula mbele ya kadamnasi na mbele ya mungu ndo mambo mengine yafuate sio kukurupuka kwenda kupigana na mke mwenzio utapigana na wangapi?? huyo unogombana nae pengine kuna wengine zaidi

3 uumpe mkate wake wa kila siku, alalapo na amkapo. uone uko nje ataenda kwa ubavu gani?.
 
Back
Top Bottom