Mapya yaliyoibuka KKKT Mtwara

KANISA nianzishe na nijenge mimi katika kiwanja changu ncha urithi then uniletee hoja ya elimu eti sijasoma nyooo wewe mwenye elimu yako mbona hata nursery school umeshindwa kuanzisha we vipi. unapokuwa kiongozi mkubwa sio lazima kusoma sana kwani ukisoma sana huwezi kuwa kiongozi mzuri(anaebisha athibitishe). nina sifa za kuwa mkuu huku coz nina uzoefu wa miaka mingi na Enjili. in short sitoki na sikubaliani na hoja yenu ya elimu.
 
Mkuu umejibu kama ndio wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…