Mapya yaibuka Kuhusiana Na Video ya Askofu Ngwajima

Mapya yaibuka Kuhusiana Na Video ya Askofu Ngwajima

BRO! umeandika gazeti, lakini hamna cha maana hapo, gwajima mwenyewe anajua watanzania wengi ni wapumbavu kwenye upande wa technolojia, unajinadi unajinadi unajua IT lakini sioni kama unajua chochote! kama kweli ulisomea IT basi bado sana?!

iko hivi, unaweza ukawa unajua masuala ya IT lakini usiwe mtaalam wa mambo ya photo/video editing, yule ni gwajima, mimi ni photo/video editor mzoefu ninatengeneza mpaka animation "cartoon"

hakuna kitu kisichowezekana kama kuedit video na kuiwekea kichwa kwenye mwili ambao sio wake na vikamove kwa asilimia mia kama vile, huwez ukaweza kichwa kwenye mwil kama ule halafu midomo ikakikisi vile!, ule mwili na kichwa ni vya mtu kamili aliyerekodiwa hamna edit pale, nipe jina la hyo software mpya ambayo inaweza kufanya yale maajabu.

mtat0mbewa sana wake zenu kwa akili hizo fupi, hamna ushahidi ulionyooka kama wa video maana video ni ngumu kuedit, bora angesema sio yeye kabisa ni mtu mwngne kwenye vdeo lakn asiseme ameeditiwa.

Write your reply...

ASANTE IT MWENZANGU UMEMALIZA, NILITAKA KUMJIBU HUYO JAMAA ILA UMEMALIZA ASANTE.KIUFUPI NI KWAMBA HUWEZI KUEDIT VIDEO UWEKE KICHWA HALAFU MWILI NA KICHWA VIKAWA NA USHIRIKIANO KIMATENDO FULL STOP
 
Hiyo clip imesambazwa hivi karibuni, ila haina maana ilirekodiwa hivi karibuni. Hivyo kudai kwamba sasa anatakata kuliko miaka 10 iliyopita sio hoja.
 
"......... Kwani yeye ni nani? Si ni binadamu kamili lakini ambaye ameamua kumtumikia MUNGU? Ndio anaweza kukosea watumishi wakubwa kuliko yeye na waliozungumza na MUNGU moja kwa moja na akawataja kuwa wapenzi wake walifanya kosa hili na kuzidi, Gwajina ni nani hata imekuwa kwamba hawezi kukosea? Je nilazima tumpachike vitu ambavyo hakufanya? Tutumie kiasi kikubwa na pesa kama ‘mlichotumia’ kutayarisha uchafu huu?.......... "

Hapa ndo ulipokosea. Wewe ungetuwekea utaalam wako hapa halafu tujichagulie uchambuzi gani una mashiko. Ukaanza kumtetea kama ulimzaa vile.
 
Wewe ndio mzee wa kanisa au shemas?
Anaweza pia akawa mmoja wa wale mgambo wa gwajiboy.
Siku kama leo Jamapili utawakuta wanaandamana wakikimbia na Bendera za gwajiboy kwenye ile service road karibu na jumba la kuabudia la gwajiboy
 
Ile video hata Mimi nimeiona, yaani gwajiboy kabisa.

Halafu sijui ni kwanini wadada wameisifia sana ile miuno- feni mbovu ya gwajiboy
 
Kwahiyo unapojenga kanisa unavua shati? Kanuni za sight ya ujenzi zinaelekeza kuvua shati na kuwa kichwa wazi. Huu ni uongo wa mchana.
 
Mimi ninachoelewa ni kwamba ni kweli kuna mtu/watu wapo nyuma ya hili suala na wamemtega mtumishi wa baba na kwa vile ana tabia mbaya akanasa kiulaini. Mtumishi huyu mimi nilishamshitukia siku nyingi kwamba ni mfanyabiashara kupitia injili. Mtumishi gani wa Mungu anaendekeza bifu na watu. Kuitumia madhabahu kutoa mipasho dhidi ya wabaya wake. Mungu hadhihakiwi hata siku moja. Mtoa posti acha kutetea dhambi. Hatumhukumu mchungaji lakini huo utakatifu unaompatia hana na biblia ipo wazi kwamba tutawatambua kwa matunda yao hao watumishi.
At least we nakuelewa
 
Duh.. Hii nayo ni hoja yenye uzito wa heavy weight aseee
Hiyo clip imesambazwa hivi karibuni, ila haina maana ilirekodiwa hivi karibuni. Hivyo kudai kwamba sasa anatakata kuliko miaka 10 iliyopita sio hoja.
 
Hakuna kazi ngumu kama kumshaur mwanamke alieye penda na mtu ambaye ni muimini wa haya makanisa ya kiroho
 
Tumekuelewa Mkuu ma IT tunaelewa ulicho kizungumza lakini zyumbukuku wengi hawawezi kukuelewa maana hawajui lolote zaidi ya kushabikia
Kama wewe ni IT na umeamini utumbo huo hapo juu basi utakua yale magari yanayosafirishwa kwende nchi jirani. IT
 
Dah kweli the so called IT expert mpaka aibu unatetea ujinga tangu lini unaweza edit video kwa kupachika kichwa cha mtu mwingine??? dah hizi elimu za Tanzania majanga.
 
Back
Top Bottom