Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,810
- 7,694
kwa hiyoHabari za asubuhi wanajukwaa. Kutoka moja ya magazeti ya Leo tarehe 19/09/2017, nimesikia habari kuwa moja ya risasi alizomiminiwa Lisu ilifika hadi kwenye ini.
jibu zuri saana!kwa hiyo
Itisha mdundiko usherekee basi.Habari za asubuhi wanajukwaa. Kutoka moja ya magazeti ya Leo tarehe 19/09/2017, nimesikia habari kuwa moja ya risasi alizomiminiwa Lisu ilifika hadi kwenye ini.
Tumuombee jamaa apone haraka . Mungu anakusudio lake kwenye hili.kwa hiyo
Unataka nini?kwa hiyo
Sema vzr kama mlipiga kwenye ini halafu unajieleza ujidhani sifaHabari za asubuhi wanajukwaa. Kutoka moja ya magazeti ya Leo tarehe 19/09/2017, nimesikia habari kuwa moja ya risasi alizomiminiwa Lisu ilifika hadi kwenye ini.
Kama ulivyoandika wewe!watu wambea sana aisee kila mtu anaandika anavyo jua yeye.
Yeah, kwa zile risasi hata kama watasema iko nyingine imenasa kwenye moyo wala sitashangaa. Jambo muhimu hapa ni kumwombea apone FULL STOPTulichotaka kujua kwake ni kuwa yuko hai,na yuko hivyo,tunajua alimiminiwa risasi mwilini na huo ndiyo mwili wenyewe,NINI KIPYA?