Mapungufu ya mabasi ya Tahmeed

asante mkulu
 
Watu wengi wameshindwa kumeelewa mtoa mada kuhusiana na nyimbo za kwaya. Ametumia maneno tofauti na mabasi mengi ya arusha akimaanisha kwa mabasi mengi ya arusha yanapiga kwaya.
 
Kila ninapo safiri siwezi kusahau head phone na charger, Ni wakati nzuri WA kusikiliza vtu ambavyo nikiwa kitaa nakosa muda WA kusikia. Hasa kutokana na "Vyuma"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…