Mapungufu ya Kikwete: Constructive Criticisim!

Lipo jambo moja ambalo watu hawajui na kila siku wanataka kutuongopea kwamba raisi hana matatizo.ambalo hawajui ni kwamba hata uclass monitor jk hauwezi.
 
kwa taarifa yako mjungu na umbea ndio vinamuharibu na ndio maana huyu jamaa ana kisasi sana.bila kusikiliza majungu saa hizi angekua mbali sana.we angalia mtu kama nape kapewa cheo kimajungu majungu tu.jk ukigombana na mtu anakupatia cheo,kumbuka sakata la kashfa ya jengo la umoja wa vijana alipogombana lowasa moja kwa moja akampa ukuu wa wilaya na baadae ukatibu mwenezi na hapo ndo tukasikia ishu ya kuvua gamba.kwa majungu anayo kaka.halafu ana tabia ya kutanguliza wenzake wakishaharibikiwa na yeye ndio anajitokeza muulize pinda anajua hili.
 
Ni kweli kabisa yaweza kuwa watu wanajadili kwa kauli zisizo na staa kwa Rais wa Tanzania. Yote yanatokana na heshima aliyojijengea kwa watanzania wenyewe. Hata baba nyumbani akiwa hatimizi mahitaji ya muhimu kwa wanfamilia wake, alhali watoto wanafahamu fika kuwa anao uwezo wa kufanya hivyo,si shaka kuwa atapoteza heshima na imani kwa watu wake (kama ilivyo kwa Rais wa Tanzania). Anazo sifa na labda malengo ya kuikwamua nchi katika lindi la uozo uliopo kila idara kwa sasa, lakini hana uwezo wa kuset strategy za kufikia malengo yake!!!! Nch hii haina Kiranja thabiti
 
Inawezekana JK pia huwa anasoma jf, na alisoma hiki tulichoandika humu!, tulikuwa tunamuona ni rais dhaifu asiyeweza kufanya maamuzi magumu, ndio maana mliwahi kusikia zile kauli za "hakatwi mtu!".

Lakini kilichofanyika kwenye vikao vya mchujo wa wagombea urais wa CCM ni proof kuwa ama JK amebadilika na kuufuata ushauri huu yeye mwenyewe tuu bila kusoma humu, ama pia amesoma humu na kuongezea watu waliomshauri, ila mwisho wa siku, amefanya maamuzi magumu, kila mtu ameshangaa na wengine tumebaki midomo wazi!.

Pasco
 
No one is perfect, the man has done best according to him
 
Huu ni mwanzo tuu, naendelea

Pasco
 

Huu ni mwanzo tuu, naendelea

Pasco
Yap PASCO umethibitisha pasipo mashaka kwamba kuna wakati ulikemea maovu lakini hili la MH WAZIRI MKUU nadhani umeteleza na ndio maana karibu wachangiaji wote wametofautiana na wewe. kwanini? watu wote wanapenda GOOD GOVERNANCE lakini walio sababisha watendewe hivyo ni watumishi wenyewe wa TPA NA TRA. Kwanini? wangesema ukweli toka mwanzo Waziri mkuu asingewaonesha ukweli anao ujua yeye!!

Walijaribu kudanganya ili waone kama Waziri mkuu anajua ukweli na wangefanikiwa unajua nini kingefuata? wangeanza kujipongeza kuwa ulaji wao utaendelea.

Pasco jaribu kufikiri mtu anamdanganya waziri mkuu huku anajua katumwa na Rais bado huyu mtu atendewe jema?? Enzi za Nyerere huyu angepotelea kusiko julikana.Tunamzungumzia mtu au watu walio iingizia serikali hasra ya tshs Billion 400 yaani makontena 2000 plus! halafu mpaka leo wapo kazini !!hawa wangekuwa wachina tungekuwa tunazungumza habari nyingine.

Vitani wanajeshi hawaruhusiwi kupiga maeneo wanako ishi raia lakini kama wanajeshi wanajificha miongoni mwa raia? hapa viongozi wetu wanaweka misingi ya uwajibikaji na unapo ona yale yanatokea hayawalengi wale tu bali wanakusudia UJUMBE UWAFIKIE WATUMISHI WOTE WA UMMA NCHI NZIMA.

Je ni mwisho wa Waziri mkuu kufika TPA AU TRA? Hapana atarudi tena na tena mpaka atakapo ridhika kuwa mambo yanaenda vizuri.maana yake mapato yatokanayo na uingizaji wa bidhaa kutoka nje yawe yanaridhisha.
 
Hiki kipande wakija wale, upande ule.. Ambao wamebadilika
 
Sasa JPM ndio Rais
 
Ni rahisi sana kuongoza USA kwa kuwa institutions zipo na zinafanya kazi zake kama kawaida, kuliko Tanzania ambako institutions nyingi hazifanya kazi inavyotakiwa. Kwa maana hiyo, rais anatakiwa kuwa kama day worker, kila siku kusimamia watu.
Tumeshapata Rais ambae ni day worker, je msimamo wako ni ule ule au umeshabadili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…