Mapunda Apindukia Simba -Picha

Halafu ndio walikuwa wanasema eti Yanga wanasajili kuwakomoa Simba,kamati ya Fundi/Usajili Simba ni magarasa tupu angalia walivyochemsha kwenye usajili kwa karibu misimu 4

Ungerambishwa 5 kama usajili ungekuwa mbovu?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Endelea kuhisi, imeshindikana licha ya Manji kuhonga mpaka waziri na sasa kaamua kunyosha mikono juu !! Hata siku ile by 3-0 half time tutoto tuliwatoa jasho....

Tumezoea kelele zenu ngoja uone kama huyo bitozi wa kizamani mbega magari makubwa Ngasa atakatiza...... Kaseja ni kama ZZK, mtamtimua tuu 🙂

Nahisi 5-0 zitarudi kipindi hiki cha Berko na Mapunda. Simba watasingizia kuwa hawa makipa ni Yanga damu, kwa kuanzia tunawashona 4-0 kwenye mechi ya 'Nani Mtani Jembe'.
 
Yanga imesajili vizuri miaka minne iliyopita, imepata mafanikio gani Afrika?

Punguza ushabiki mkuu,Kuna wachezaji karibu 20 walisajiliwa lakini hawakumaliza mikataba yao baadae Klabu inavunja mikataba na kuwalipa
Akufor,Mude,Dhaira,Makasi,Dhaira,Costa,Shiboli,Waluya, Mbiyavanga,Ochieng, Masombo,Keita,Mrwanda na wengine kibao hili linadhihirisha hiyo kamati ni bomu
 
Wanaweza kuwa sahihi, kwamba wamelazimika kuchemka hivi baada ya kukomolewa na Yanga. Lakini hata ingekuwa hivyo, kupotea ni wakati wa kwenda tu, iweje wapotee hata wakati wa kurudi?

Acha ajaribi bahati yake. Nadhani wamempa dau kubwa kuliko ile ya Gor Mahia. Kitu pesa bana.
 
mzimu wa Kaseja unatutumbukia nyongo, tumekazania makipa tu

Acha Upumbavu na Ujinga! Wewe Umeichangia Nini Simba Yetu Mpaka Sasa? Yaani Ujanja Wote huo Ulikuwa Hujui Kama Tatizo Letu Kubwa Lilikuwa ni Golikipa? Wewe wa Wapi? Yaani Huoni Kweli! Ili Nijue Kuwa Wewe Kweli ni Mdau wa Mpira hebu Niambie Kabla Ya Kumsajili Berko na Mapunda Simba Ilikuwa na Matatizo ktk Idara Gani au Ipi? Acheni Ubwege Nazi Wenu!
 
katika vitu ambavyo mapunda amekosea maishani mwake ni kurudi tena kwenye hivi virabu vilivyomtema kuwa kaisha ,na sasa safari yake ya maisha ya soka inaelekea mwisho

Kikubwa ni Pesa au Maslahi na Ukumbuke Kuwa Ivo Mapunda Nae Sasa Umri Unamtupa Mkono hivyo Kwa Pesa Alizopewa Zitamsaidia Sana Haswa Kimaisha na Anarudi Nyumbani Kaka.
 
katika vitu ambavyo mapunda amekosea maishani mwake ni kurudi tena kwenye hivi virabu vilivyomtema kuwa kaisha ,na sasa safari yake ya maisha ya soka inaelekea mwisho
Kweli kabisa mkuu, huyu jamaa KAINGIA CHOO CHA WANAWAKE tu, mie nilitegemea angeendelea kutafuta timu nyingine nje ya Tz lakini karudi na ukweli timu ya taifa ndio hachaguliwi tena maana pana mtaalamu wa misumali hapa.
 
Endelea kuhisi, YM amesema hagombei tena uenyekiti!



Kwa hiyo amekata tamaa kuzirudisha 5, kama yanga walishindwa kutufunga mechi iliyopita hawatakaa watufunge 5 kwa beseni....Sasa hivi tuna beki nzuri sana, kiungo usiseme, washambuliaji wembe kocha malizieni wanazi wa yebo yebo...
 
Kwa hiyo amekata tamaa kuzirudisha 5, kama yanga walishindwa kutufunga mechi iliyopita hawatakaa watufunge 5 kwa beseni....Sasa hivi tuna beki nzuri sana, kiungo usiseme, washambuliaji wembe kocha malizieni wanazi wa yebo yebo...

Hiyo ndiyo demokrasia, si kama kupe lenu king'ang'anizi hadi lishitakiwe bungeni.
 
usajili wa kuhemkwa sio wa kitaalamu
 
nasikia Yanga ndio wamecheza DILI
 
Mapunda, Berko: Simba. Nao Kaseja na Okwi: Yanga. Hii ni kali, haijawahi kutokea tangu 1935. Huenda isijirudie tena hadi miaka 70 ijayo.
 
huyu ni ----- kweli au ndo ana malizia soka lake nini..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…