Msimu uliopita: Dharia. Dirisha dogo:Berko. Kadirisha kadogo: Mapunda. Msimu ujao: Buffon?
Simba mmh!
Mapunda tena acha tuone itakuwaje na huyo
Mr Tematema.
Usajili wa kuigana,Yanga kachukua wa Simba na Simba kachukua wa Yanga kuwapoza mashabiki.........Hamna kitu hapo,bora kama wamekosa kipa adake Mwombeki
Wanaweza kuwa sahihi, kwamba wamelazimika kuchemka hivi baada ya kukomolewa na Yanga. Lakini hata ingekuwa hivyo, kupotea ni wakati wa kwenda tu, iweje wapotee hata wakati wa kurudi?Halafu ndio walikuwa wanasema eti Yanga wanasajili kuwakomoa Simba,kamati ya Fundi/Usajili Simba ni magarasa tupu angalia walivyochemsha kwenye usajili kwa karibu misimu 4
Hata hivyo umri umeshaenda sana, ni bora aje "kustaafia" nyumbani tu!katika vitu ambavyo mapunda amekosea maishani mwake ni kurudi tena kwenye hivi virabu vilivyomtema kuwa kaisha ,na sasa safari yake ya maisha ya soka inaelekea mwisho
Yanga imesajili vizuri miaka minne iliyopita, imepata mafanikio gani Afrika?Halafu ndio walikuwa wanasema eti Yanga wanasajili kuwakomoa Simba,kamati ya Fundi/Usajili Simba ni magarasa tupu angalia walivyochemsha kwenye usajili kwa karibu misimu 4
Yanga imesajili vizuri miaka minne iliyopita, imepata mafanikio gani Afrika?