Karibu my home town ukikwama lolote nichekiWakuu heshima zenu,
Nahitaji kwenda nje ya jiji la Dar kwa mapumziko mafupi ya km siku 2 ili nipumzishe hii akili.
Nahitaji kwenda Lushoto, Tanga ila sijawahi kufika huko wala siyajui maeneo mazuri.
Nahitaji mahali palipotulia sanaa na penye mazingira natural ya kutosha with enough green, pakiwa na bwawa la kuogelea itakua poa sana.
So Mwenye idea na maeneo tajwa msaada wako ni muhimu kwangu na kwa wana Jf wengine
Karibuni.
Lushoto yote ni mapumziko. We nenda. Ukifika utajionea kila kitu na kukumbuka ushauri huu. Mie Lushoto ndo kwanguWakuu heshima zenu,
Nahitaji kwenda nje ya jiji la Dar kwa mapumziko mafupi ya km siku 2 ili nipumzishe hii akili.
Nahitaji kwenda Lushoto, Tanga ila sijawahi kufika huko wala siyajui maeneo mazuri.
Nahitaji mahali palipotulia sanaa na penye mazingira natural ya kutosha with enough green, pakiwa na bwawa la kuogelea itakua poa sana.
So Mwenye idea na maeneo tajwa msaada wako ni muhimu kwangu na kwa wana Jf wengine
Karibuni.
Usichanganye lushoto na tanga mjini,wasambaa hawana ujinga huo,hizo ni mambo za wadigo na wabondei"Kuna pisi kali zinaandaa maji yakuoga yenye viungo" (nilisikia)
Bei zipoje hapa...Mkuu nenda swiss farm cottage hutojutia trip yako nataka nirudi Tena mwaka huuu mungu akijaaliaView attachment 2469388View attachment 2469389
Nenda Mullers Lodge au Swiss farm cottage. Huko ni mbali na mji wa Lushoto na utapata unachotamani. Kuna uzi upo humu una mapicha kibao ya lushoto.Wakuu heshima zenu,
Nahitaji kwenda nje ya jiji la Dar kwa mapumziko mafupi ya kama siku 2 ili nipumzishe hii akili.
Nahitaji kwenda Lushoto, Tanga ila sijawahi kufika huko wala siyajui maeneo mazuri.
Nahitaji mahali palipotulia sanaa na penye mazingira natural ya kutosha with enough green, pakiwa na bwawa la kuogelea itakuwa poa sana.
So Mwenye idea na maeneo tajwa msaada wako ni muhimu kwangu na kwa wana JF wengine
Karibuni.
Mwamba nenda Lushoto hutajuta kamanda na usikose demu ukifika utapata raha zote kafikie pale kakakuona resort hotel, sehemu zipo nzuri hasa adventure, nature view, good look, Utalii wa mandhari patamu sana, Usikose kwenda Pale Masaki, Lawns hotel kwa nyama choma.Wakuu heshima zenu,
Nahitaji kwenda nje ya jiji la Dar kwa mapumziko mafupi ya kama siku 2 ili nipumzishe hii akili.
Nahitaji kwenda Lushoto, Tanga ila sijawahi kufika huko wala siyajui maeneo mazuri.
Nahitaji mahali palipotulia sanaa na penye mazingira natural ya kutosha with enough green, pakiwa na bwawa la kuogelea itakuwa poa sana.
So Mwenye idea na maeneo tajwa msaada wako ni muhimu kwangu na kwa wana JF wengine
Karibuni.
Hii swiss farm naona mnaitaja sana.Nenda Mullers Lodge au Swiss farm cottage. Huko ni mbali na mji wa Lushoto na utapata unachotamani. Kuna uzi upo humu una mapicha kibao ya lushoto.