Magufuli hashauriwi na washauri wake,yeye ndiye anawashauri washauri wake.
Kuna mtu anaitwa Lawrence Mafuru, alikuwa Registrar Hazina. Jamaa ni well respected banker mpaka Charter ya Bankers London wanamtambua.
Magufuli alikuwa anatakakuingilia mfumowa benki,afanye anavyotaka, Mafuru akawa anamwambia unavyotakakufanya ni sawa,ila, inabidi twende kwa hatua, ukifanya mara moja utaharibu mzungukowa fedha na haliitakuwa mbaya sana kiuchumi mtaani.
Magufuliakamuondoa, kwa mfumo wa "atapangiwa kazi nyingine".
Mpaka leo nafikiri anasoma magazeti kama sikosei.
Sasa kama watu wanaona, mtu akimshauri raiskitaalamuanatumbuliwa hivi, wakijua ushauri fulani rais hatautaka, wanaona bora kukaa kimya tu.
Rais anawashauri wao, wanakubali, maamuzi mabaya yanapita.
Ndicho kinachotokea sasa hivi.
Washauri wa rais wanashauriwa na rais.