butron
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,769
- 8,260
Utamshaurije the highest Principal Consutant and stateman.
Shida yetu Tanzania tumeweka vyeti mbere kuliko ubunifu.Unakuta MTU anakwambia Mimi nimesoma UDSM basi anapewa kipaombele kupewa kazi ,kama uamini angalia watu wengi anaoteua jiwe wamesoma wapi!
Ata yule kanjanja wa GPA ya 32 alimuuliza umesoma wapi,jamaa kajichanganya;angesema chuo pendwa cha Jiwe angeula.