Maprofeshional wa chabo

Hii ni "white supremacy in guise" kwanini ni mwenye asili ya kiafrika anaibia na kusaidiwa n mzungu anaonyeshwa mwenye uwezo? Picha hii ni zaidi unachokiona ni kuendeleza dhana potofu mzungu ndiye anayewza hata katika mtihani na mwafrika ndiye anayesaidiwa kwakua anawezo mdogo. Huku ni kujenga saikolojia ambayo imekolea sana hata kwa viongozi wetu... misaada na ufisadi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…