Maprofesa mnaosimamia taalum yenu

Maprofesa mnaosimamia taalum yenu

nkongo

Member
Joined
Dec 9, 2011
Posts
84
Reaction score
14
Tumeona wataalamu wa kiwango cha uprofesa wanavyo jivika ujinga kwa kutosimamia taaluma yao,mfano shivji.
hivi profesa anaweza kuongea kwa kukiuka alichokisema au kuandika ktk vitabu vyao au majarida .
Tuwaombe maprofesa waadilifu muanze kuwapinga waziwazi hawa maprofesa tumbo ili taaluma hii isianze kudharauliwa na wananchi.mtakapo tembea barabarani tutawatema mate kwa ajili hao wachache.
 
Wasomi wengi wa Tanzania wametokana na uwezo wa kukremua Madesa, hawana uwezo wa kufikiri huru kulingana na kweli iliyopo.
 
Back
Top Bottom