Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,612
Safi boss kwa maelezo mazuriKwa uzoefu wangu mimi, kati ya maprodyuza 10 ni 2 tu walioingia darasani kusomea hiyo kozi. Wengi wao nikiwemo mimi tumeungaunga tu mtaani. Yaani tuseme labda Mr. T touch ni mshkaji wako kwa hiyo na wewe unakuwa huchezi mbali nae, kuna vitu baadhi anakufundisha huku vingine ukijiongeza mwenyewe.
Kwa mtu ambaye ni shabiki na sio mtaalamu wa muziki ni ngumu kugundua kwamba audio zetu zina mapungufu. Shule inasaidia kwa kiwango kikubwa kuna vitu hutavipata mtaani ila shuleni vipo.
Wajuzi zaidi wataongezea.
kuna wale maproducer walio somea na wale wa kuunga unga,ili uwe uproducer bora lazima usome kwanza, kuna chuo kinaitwa CHUO CHA SANAA BAGAMOYO (University of Arts Bagmoyo) na Cardiff Metropolitan University (Cardiff School of Arts&Design)Naombeni kuuliza hivi hawa maproducer uwa wanasomea hiyo fani au ni ujanja na kipaji tu.
Na kama wanausomea Tanzania ni wapi au chuo gani kinatoa ayo mafunzo.
Sijawahi kuelewa naomba wadau mnipe hiyo experience nahitaji kupata ayo mafunzo.