Mapro Wanaocheza Bongo

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
Nimeangalia kwa makini sana kupitia Mapinduzi Cup naona mapro wengi ni mzigo tu na nashawishika kiamini kwamba ni kweli ni dea za wanaojiita watu wa mpira

sijui wenzangu
 
Ni kweli, wanabebwa bebwa na magazeti lakini uwanjani ni sifuri..
 
Ni kweli ni mizigo, Yanga inawajaza wote uwanjani licha ya kuwa na performance duni.
 
Back
Top Bottom