Mapping Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapping Tanzania

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by i411, Feb 23, 2012.

 1. i411

  i411 JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Hi wanajamii mimi nina hoja nataka kuwakilisha kuhusu kumap miji yetu ya Tanzania nataka kuwawashirikisha wale wote wanaoweza kujitolea mda wao kuweka sehemu kwenye ramani ya tanzania ambayo ipo online kwenye internet. Kumap tunatumia google service ambayo ni bure na mtu yeyote anaweza map ilimradi tuu awe na google gmail account. Unaenda tuu kwenye mapmaker au unaweza ukagoogle mapmaker. kwenye mapmaker una add to mahali ambapo unapajua kwenye ramani kama ni jengo, hoteli, barabara hata nyumba unaweza wekea boundaries na ukaweka na plot number kama jina ili tuu ramani yetu yaa online na siye iweze kuonyesha vitu. tumeunda kikundi kwenye google + unaweza ukatu add na ukapata hapata habari zaidi kama tukiwa tunakutana siku kwenye kumap kama kikundi kupeana tips na changamoto. Wenye kutaka ufafanuzi zaidi ni PM
   
 2. i411

  i411 JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  tumefungua na kagroup hapo kwenye google groups kwahiyo kama mtu yupo anataka kujiunga anaweza akaenda tuu [TABLE]
  [TR]
  [TD="class: fontsize2, align: right"][/TD]
  [TD]
  http://groups.google.com/group/mapping-tanzania-[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  na atakuwa amejiunga na kamtamdao ketu unaweza uliza maswali na ukapata majibu. Na ukijiunga na kikundi tukituma email za kukutana basi na wewe utakuwa umetumiwa mualiko.
   
Loading...