Duh siku hizi dunia imeisha hadi wanaume na familia zao wana wivu???ndo maana mashoga wanaongezeka,sasa kumpokea mtu na kuwa na kazi kuna mahusiano gan??? Kama mtu humpendi usiwabeze wampendao
Nilichojifunza ni kwamba kila mtu ana washabiki wake. Hawa watu walijichanga wenyewe bila kushurutishwa na mtu bila hata kumjulisha Wema. Yani kwa kifupi wamemshangaza hata Wema.