Yaah huyu ndiye my kipenzi. Wanawake tunaweza atiii.
Watu nyongo zimewatoka na wakati hata hela ya chai hamna. Heheheiyaaaaaaaaaaaa kwenye maisha kuna kupata na kukosa kufeli na kufaulu. Safari ya madam wema ndio kwanza imeanza na Mungu ni mwema atamfanikisha kwa kila jambo.
Mgawa ridhiki ni Mungu pekee.
Kabla hujamnyooshea kidole le madame hakikisha kidole chako ni kisafi.
View attachment 271647View attachment 271648