Mapokezi ya ndanda fc mtwara, ya tishaaaa.

Mapokezi ya ndanda fc mtwara, ya tishaaaa.

LUWINGO

Member
Joined
May 14, 2013
Posts
33
Reaction score
8
mji wa mtwara leo kuanzia alasili ulisimama ghafla na askari kutapakaa kila kona kwa jinsi wamande walivyoungana kuipokea NDANDA FC, timu iliyopanda daraja hadi PREMIER LEAGUE., duh.....! kwa umoja huu, MUNGU IBARIKI NDANDA FC.
 
Back
Top Bottom