Mapokezi ya Lowassa na UKAWA Sumbawanga - Tarehe 02 Septemba, 2015

Wadau wa UKAWA s'wanga.

Mtujuze kwa picha tafadhari mapokezi ya mleta mabadiliko kamanda Edward na timu yake hapo mazwi, mjini Swanga. tunasubiri kwa hamu, mumthibitishie Dr. kuwa haturudi nyuma kwa safari iyoanza tayari!

Halafu mbona kampeni za Lowasa nawaona CCM wenzake tu akina Sumaye, Masha, na Mgeja? Wenye chama wako wapi? mmepigwa changa la macho hakika.
 
Baada ya ngonjera za jana za dr slaa,, leo mji wa sumbawanga utatikisika ambapo lowasa anatarajia kuingia katika viwanja vya shule ya msingi ndua muda wwte kuanzia sasa

Mji umezizima mbaya!!! Naamibi uwanja wa Mandela usingetosha. Najiandaa kwenda kwenye mkutano. Dr. Magufuli alipokuja haukuzizima hivi.
 
Mji umezizima mbaya!!! Naamibi uwanja wa Mandela usingetosha. Najiandaa kwenda kwenye mkutano. Dr. Magufuli alipokuja haukuzizima hivi.

Mkuu Kapitika,

Hebu tupia TUPICHA kidogo wa kwetu! Weka hata shamra shamra uwanjani mkombe! Nawajua watu wa swanga hamtarudi nyuma. Hakuna kurudi Misri, kanaaani mpaka kieleweke!
 
Mkutano unafanyika takribani 5km toka mjini. Watu wanaokwenda, hasa kwa miguu ni wengi sana, wengi wao ni vijana wa kiume. Dr. Magufuli alifanyia katikati ya mji - uwanja wa Mandela ila hakupata hata kama hii. Watu wanaokwenda ni wengi kana kwamba wanakwenda kupewa msaada. Nipo miongoni wao.
 
Biblia inasema palipo na maneno mengi hapakosi kuwepo na mabaya

ni bora kuongea dakika 8 kuliko kuongea saa 1 kwa kuwadanganya watanzania kwa ahadi hewa

2005 tuliambiwa maisha bora kwa kila mtanzania kasi mpya ari mpya na nguvu mpya

tumeambulia bora maisha

mtendaji yeyote mzuri hana maneno mengi
 
Wadau wa UKAWA s'wanga.

Mtujuze kwa picha tafadhari mapokezi ya mleta mabadiliko kamanda Edward na timu yake hapo mazwi, mjini Swanga. tunasubiri kwa hamu, mumthibitishie Dr. kuwa haturudi nyuma kwa safari iyoanza tayari!

Nikweli, ni mabadiliko ya kumuweka Mla Rushwa Madarakani na kumuacha Mwadilifu, Mchapakazi na Mwaminifu!!
 
Duuu! ni hatari !! Uwanja wa Ndua Kizwite_Sumbawanga umekwishajaa.Hakuna nafasi ingawa Mgombea wa UKAWA/Chadema bado hajawasili! Ama kweli gari limeshaondoka Slaa amekwishasahaulika na hadithi zake.
 
mgombea kashaonekana wa kawaida sasa hamna tena comment nyingi . tangu nione hii post mpaka sasa kuna comment 58 tu zaman ingekua 1358 na picha za kutosha
 
muhadilifu gani hyo makufuli anatoa ahadi hewa serekali yake imeshindwa yeye atafanya miujiza gani? bora hyo mnaedai fisadi
 
Mkutano unafanyika takribani 5km toka mjini. Watu wanaokwenda, hasa kwa miguu ni wengi sana, wengi wao ni vijana wa kiume. Dr. Magufuli alifanyia katikati ya mji - uwanja wa Mandela ila hakupata hata kama hii. Watu wanaokwenda ni wengi kana kwamba wanakwenda kupewa msaada. Nipo miongoni wao.

Weka picha
 
CN5fyRkWIAAMWwC.jpg

CN5iYCUWEAAQvmw.jpg

wanachi wakimsubiri Lowassa airport sumbawanga
 
Back
Top Bottom