Ameshakuwa toilet paper,ametupwa chooni.mwenyekiti wa BAVICHA aliejiuzulu Katambi mbona haandamani na mwenyekiti mwenzake?
Wamekatazwa Wapinzani tu. Yeye mwenyewe na Makada ni ruksa!!Kwani mikutano ya hadhara na maandamano ya wanasiasa imeruhusiwa lini tena?
Mtoto wa dada.Ndio nani huyo?
Kijana namba 1 Tanzania, hutaki unaacha!Ndio nani huyo?
Kasikilize hoja mkuu watu achana naoPamoja na watu kusombwa kwa maroli kutoka maeneo mbalimbali ya jirani na Mwanza lakini watu ndio hao tu?
Ccm wenye hoja wamezibwa midomo, walio huru sahivi ni waropokaji tu kama mwenyekiti waoKasikilize hoja mkuu watu achana nao