franksarry
JF-Expert Member
- Nov 9, 2009
- 1,284
- 481

Wajinga ndio waliwao! Arusha tunataka Lema atimize ahadi zake sio mbwembwe anazo fanya! Mbona Mawaziri Kivuli wengi wa CDM wametoa hotuba au hazikua na Maana? Lema tunataka maendeleo

atapokelewa na madereva wa daladala, kichekesho
Lema ni Tingatinga !
jamani muwe mnapitia post, mkutano ni jumatatuSaa 11 sasa. Mkutano haujaanza?
Punda ni punda tu, na ndiyo maana haliwi japo ana kwato na anacheua!

Hiyo statement yako ni fupi lakini inavuka mipaka hadi kwenye desturi na imani za watu. Kumbuka, kwa baadhi yetu, punda ni chakula. Kwa wengine vingine visivyokuwa na sifa (kwato na kucheua) kama za punda, kama kweli hizo ndio sifa za mnyama kuwa chakula, bado ni chakula - nguruwe, ngamia, n.k.

Tusihukumiane kwa imani au desturi zetu kwani kwa hakika hakuna aliyekamilika katika hilo. Lengo daima liwe ni kumkabili yule adui; na adui wa taifa letu yuko dhahiri: si desturi zetu, wala imani zetu, wala jinsia zetu, wala elimu zetu, wala si makabila yetu, na wala si kanda zetu. Sote tunamjua.

wana JF,
Leo majira ya mchana Kamanda wa kikosi cha ardhini Mh. Godbless Jonathan Lema (MB) atapokelewa na madereva wa daladala pamoja na wananchi wengine wapenda haki katika maeneo ya Kisongo akitokea dodoma, na kuelekea mjini na kufanya mkutano katika uwanja wa NMC.
Mh. Lema atatokea dodoma mida ya saa sita, na kufika Kisongo majira ya saa nane au saa tisa.
nawakilisha