Unacheka kama chizi baada ya kukopi robo sentensi.atapokelewa na madereva wa daladala, kichekesho
sasa si jamaa yako ameona ni sifa kubwa Lema kupokelewa na madereva wa daladala.Unacheka kama chizi baada ya kukopi robo sentensi.
Wewe ulitaka apokewe na nani wakurugenzi ndani ya mashangingi yao.sasa si jamaa yako ameona ni sifa kubwa Lema kupokelewa na madereva wa daladala.
You are not understood!This guy is liability to CDM, time will come and time will tell.
<br /><b>atapokelewa na madereva wa daladala,</b> kichekesho
This guy is liability to CDM, time will come and time will tell.
Msaada gani mkubwa zaidi ya hotuba ya bajeti yake bungeni.Hiv katika ule mgomo wa vifodi,alienda kuwapa msaada?
<br /><b>atapokelewa na madereva wa daladala,</b> kichekesho
kichekesho kivipi???????????atapokelewa na madereva wa daladala, kichekesho
mueleze ndugu......ni kweli ni sifa mbunge wangu kupokewa na watu wa hali ya chini. hili halijawahi kufanyika kwa kiongozi yeyote wa magamba
hakuwapa sawa bali aliwapa wa kimawazo na ndiyo maana leo anakuja kuzungumza nao..Hiv katika ule mgomo wa vifodi,alienda kuwapa msaada?