Mapokezi ya Freeman Mbowe yavunja rekodi Mwanza, yafananishwa na Mapokezi ya Mandela DSM alipotoka Jela

FB_IMG_1674311856028.jpg
 
Corona ipo mpaka kesho kutwa alichotakiwa kufanya yule mpumbavu dikteta uchwara ni ku take measures huwenda tungeokoa vifo vya watu wengi sana akiwemo na yeye ila kwa upungwani wake/wenu mkawambia watanzania wapige nyungu.
Tanzania ina idadi zaidi wa 60m na waliochajanja haikufika ata 2m mbona kelele zimeisha za korona ,ebu niambie nyie na yule aliyesema mpige nyungu nani ni mqundu kama sio nyie ambao mpaka sasa mnafata matakwa yake yakuishi na korona na kuuzoea kama magonjwa mengine na mambo yanaendelea kama kawa,rais wako alishaachana na barakoa mwaka wa pili sasa, oneni na aibu kenge nyie.
 
Hii ndio Taarifa ya sasa kutoka Mwanza, Kwamba Mapokezi ya Mwamba Mwenyewe, Mtemi Isike, Laingwanan ama Ustaadh Aboubakar Mbowe yametikisa Mwanza kwa kishindo kikuu, kiasi cha kusimamisha shughuli za watu kwa dakika 90.

Hii ni hatari mno! Ikumbukwe kwamba safari ya ile kesi ya uongo ya Ugaidi aliyobambikiwa Mbowe, ilianzia Mwanza, bado wananchi wa Mwanza wanayo kumbukumbu ya jambo lile lililofedhehesha Nchi yetu Duniani, jambo lile ndilo linatajwa kama chachu ya Mapokezi haya ya kihistoria jijini Mwanza.

Wadau wanafananisha mapokezi ya leo ya Mbowe huko Mwanza na Mapokezi ya Nelson Mandela aliyoyapata DSM miaka ya mwanzo ya 90, baada ya kutoka Jela ya Makaburu na kupokelewa na Mwl Nyerere.

Kama mambo ndio yako hivi, hatujui hadi kufika 2025 hali itakuwaje.

Mungu ibariki CHADEMA.
Nilikuwa jijini Mwanza jana. Siamini kama usemacho ni kweli.
 
Hakuna kitu kama hicho. Kawadanganye wasiokuwepo Mwanza
 
Back
Top Bottom