Mapokezi ya Dr Slaa kutetemesha Karatu leo

Jamaa kawaingiza kingi akina mwigulu na jamii yake wakaamini kuwa wamempokea katibu wa cdm Karatu! Kapiga hela na amesepa!!!!

Nimefurahishwa na ujanja wake wa kulamba mshiko wa nguvu.Nadhani ataanza biashara soon
 

Unasumbuliwa na wivu wa kike
 
Haya!!! Wale viumbe wanaolipwa elfu 7 na Mwigulu ili kumtukana Dr Slaa kwenye mitandao karibuni kwa matusi!!!

Mkuu nakumbusha tu kuna mchangiaji jana alisema ni viumbe vilivyokatika hatari ya kupotea kabisa huku nchini.
 

wana wa Karatu peoplessssssss! tunategemea viti vyote
 
Kamanda Molemo nitaweka updates niko pande za huku Dr. Nikipenzi cha watanzania wote
 
acheni siasa za majitaka watanzania penyeukweli tuseme
 
love u too dr.slaa
 
hata wananchi wa manispaa morogoro kata ya chamwino wanajuta kuikumbatia ccm awajawahi kupata barabara ya rami toka tumepata uhuru wa nchi hii
 
Jamani Dr.Slaa ndiye anayefaa kuwa Rais wetu mwakani,
 
hapo hata mimi nataman ningekuwepo huko karatu maana jembe linarudi hom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…