low thinking capacity
JF-Expert Member
- Jun 4, 2018
- 1,321
- 1,488
Ivi uko bongo mawingu bado yapo? Maana huku Kenya jua kali
Show iliflop vibaya mnoMbona tumeona mapokezi ya Mombasa hatujaoneshwa show ya 24 Dec Embu?
Show iliflop vibaya mno
Bado Lukamba anaedit video za show zinakujia punde. Zingatia hivi Nairobi ni ngome halali ya Wasafi while Ali Kiba ngome yake ni Mombasa kwa Joho, nilitegemea show ya Mondi Mombasa ingebuma coz Kiba kule anakubalika sana. Nimeishi Nairobi na Mombasa kwa hiyo najua ninachoandika hapa.Nimeona za Nairobi hawajazipost hata video yake
Hata picha
Ndio maana jf imejaa busara na maarifaKweli JF, wengi ni walevi....
OutTeam Chid Benz tunakoment wapi