magode
JF-Expert Member
- Oct 2, 2014
- 2,204
- 3,338
Nimeona mapokezi makubwa sana ya David Silinde mbunge wa CHADEMA, nimeridhika kabisa CHADEMA walifanya makosa makubwa sana kujiunga na UKAWA. Kama mkutano wa mbunge unazidi mapokezi ya mgombea urais wa CCM ni wazi CHADEMA ilikuwa imejijenga na haikuwa na sababu ya kujiunga na chama kingine.
Check hapa mafuriko ya wananchi ambao hata hawajabebwa..!
Check hapa mafuriko ya wananchi ambao hata hawajabebwa..!