Mapokezi Makubwa kwa Dr.Slaa

yaani mi inanikera mbaya.ujue tunakosa fursa za michango ya watu makini kwa sababu ya mitusi ya hii mijitu.cjui tuweke wapi hoja za doctor
Kamanda, JF siyo mali ya Chadema ni jukwaa huru.

Kama mnakereka ingekuwa vizuri kama mngeanzisha forum yenu Chadema uone kama tutakuja huko.
 
Wanachofanya ni kupata mtu wa kuwaongoza kwa wao wanavyodhani it's right,sidhani kama wamesema wanataka chadema iwafanyie kazi..wanahitaji mabadiliko ya uongozi basi.
 
Kwenye mambo ya maana kuna mizimu inapoteaga lakini huku wapo kibao,bado na wale 4 sijui bundle zimeisha?
 
ha ha ha....nimecheka sana Mkuu..kwa hivyo wewe ushangiliaji wako wa siku zote humu jamvini umekuwa wa kujishabikia mwenyewe tu?!
 
- Ni kweli ametuwakilisha vizuri sana kwa kwenda nchi za watu na mke wa mtu ambaye kesi yake bado ipo mahakamani, sawa sawa!!, hii ni bendera fuata upepo tu bila hata kuuliza!!

Le Mutuz
 
Watu kama huyu mara nyingi huwa hawajitokezi kwenye maandamano. Huwa wanaangalia kwenye TV tu!

Vijana kuweni makini...
Jibu hoja yote usijibu nusunusu. magamba ila siku mumekuwa mkiongelea kuwa Dr. Slaa mzee sasa jibu hoja hizo na utuambie Samweli Sitta ana umli gani acha uvivu au ndio unakimbilia kuchukua buku 7 yako?
 
- Ni kweli ametuwakilisha vizuri sana kwa kwenda nchi za watu na mke wa mtu ambaye kesi yake bado ipo mahakamani, sawa sawa!!, hii ni bendera fuata upepo tu bila hata kuuliza!!

Le Mutuz
Le Mutuz umeangamiza waasi utetezi wao utabaki matusi tu
 
- Ni kweli ametuwakilisha vizuri sana kwa kwenda nchi za watu na mke wa mtu ambaye kesi yake bado ipo mahakamani, sawa sawa!!, hii ni bendera fuata upepo tu bila hata kuuliza!!

Le Mutuz
"Ukishangaa ya Mussa utayaona ya Firauni" dunia imekwisha wazinifu wanataka kupokewa kwa shangwe?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…