mchemsho
JF-Expert Member
- Jun 8, 2011
- 3,230
- 935
Heshima kwa wote! Wandugu kwa kuwa mpaka sasa dr. Slaa ametuwakilisha vyema huko marekani, (nadhani) hadi wao wanashangaa kwanini hakuchaguliwa badala yake akapewa dhaifu, legelege asiye na hoja jk. Kwa kutambua hilo na dhima nzima ya ziara hiyo 'vission Tanzania' nashauri wote tunaoitakia mema nchi yetu tumiminike uwanjani kumpokea kwa mabango na jumbe za kumtia moyo. NB: hatuhitaji kibali wala ruhusa ya polisi coz sio maandamano bali mapokezi...Mwanasoka mbuyu twite alipokewa na maelfu ya watu uwanjani na hawakuomba ruhusa popote coz hakuna sheria iliyovunjwa, so police stay out of this