Sikujipangia ndio maana akitaka namba yangu ili wao wanipangie lkn miezi???? Looo ht wewe uliyejibu hp hukuelewa tgread umekurupuka. WalewaleeeeeNi jambo la kushangaza kweli, unaendaje kwa mtu na shida zako halafu unataka kuonana naye kadiri unavyotaka wewe? Ninavyojua, siyo tu ofisi, lakini kila mtu ana utaratibu wake wa maisha. Sioni ajabu Shigongo kuweka utaratibu wa kukutana na wanaomhitaji, ndiyo maana wanaoona ajabu kwa yeye kuweka utaratibu, ni wale wasio na shida naye. Niwaulize waungwana, hivi mtu anaweza kuja kwako akakukuta kwa mfano unaongea na baba yako akataka umuache umsikilize?
Niende moja kwa moja kwenye mada. Nilifika mapokezi nikaomba kuonana na mkurugenzi. Huyu binti mnatooo sijui ndio mmiliki halali au vipi maana duuu anaongea km anapumua almasi kumbe hewa ya kawaida tu.
Akaniuliza una appointment? nikajibu la! Akasema nipe namba yako nitamfikishia ujumbe kisha nitakupigia siku utayopewa appointmet. Nikashukuru nikaondoka nikiwa na matumaini ya kupata fursa hiyo. Wiki ikapita hakuna simu wala nn. Nikarudi nikamuuliza vipi?
Nikamkumbusha nilipofika pale mara ya kwanza. Akasema bado lkn namba yako bado nimehifadhi. Nikarudi wa baridi na hivi sasa ni miezi imepita.
Najiuliza huyu sekretari alitimiza wajibu wake au aliniminyia makusudi? Yeye ndio huamua watu wa kumuona huyo Shig? Alijua kilichonipeleka pale? Shig alijua kuna mtu alikuwa anataka kumuona? Nina maswali mengi ila naona tu nisiyaweke yote hapa.
Sijui wenzangu mmewahi kukutana na adha km hizi?
Huyo Secretary Msamehe Tu Mkuu Kwani Tokea Aachane Na Mumewe Mr. Luqman Maloto Ambaye Alikuwa Mwandishi Mwandishi Na Kiongozi Hapo Kwa Kosa La Kufaniwa AKILIWA Uroda Na NJEMBA Moja Hivi Ipo Hapo Jengo La Nyuma MKABALA Na TSN Supermarket Ni Kama Vile AMEWEHUKA Japo Huyo Mumewe Waliyezaa Nae Katoto Kamoja Ndiyo KAWEHUKA Sasa KULIKOTUKUKA. Stress Na TALAKA Zinamgharimu Mno Kiutendaji Huyo Dada Japo Kwa Sasa Kuna Pedeshee Moja Humo Humo GPL Inabandua KISELA. Naomba Niishie Hapa Tu Kwa Leo!
mkuu naomba unielekeze hiyo ofisi ipo bamaga upande gani hasaNiende moja kwa moja kwenye mada. Nilifika mapokezi nikaomba kuonana na mkurugenzi. Huyu binti mnatooo sijui ndio mmiliki halali au vipi maana duuu anaongea km anapumua almasi kumbe hewa ya kawaida tu.
Akaniuliza una appointment? nikajibu la! Akasema nipe namba yako nitamfikishia ujumbe kisha nitakupigia siku utayopewa appointmet. Nikashukuru nikaondoka nikiwa na matumaini ya kupata fursa hiyo. Wiki ikapita hakuna simu wala nn. Nikarudi nikamuuliza vipi?
Nikamkumbusha nilipofika pale mara ya kwanza. Akasema bado lkn namba yako bado nimehifadhi. Nikarudi wa baridi na hivi sasa ni miezi imepita.
Najiuliza huyu sekretari alitimiza wajibu wake au aliniminyia makusudi? Yeye ndio huamua watu wa kumuona huyo Shig? Alijua kilichonipeleka pale? Shig alijua kuna mtu alikuwa anataka kumuona? Nina maswali mengi ila naona tu nisiyaweke yote hapa.
Sijui wenzangu mmewahi kukutana na adha km hizi?
Ishia hapohapo maana umeua kabisa tehHuyo Secretary Msamehe Tu Mkuu Kwani Tokea Aachane Na Mumewe Mr. Luqman Maloto Ambaye Alikuwa Mwandishi Mwandishi Na Kiongozi Hapo Kwa Kosa La Kufaniwa AKILIWA Uroda Na NJEMBA Moja Hivi Ipo Hapo Jengo La Nyuma MKABALA Na TSN Supermarket Ni Kama Vile AMEWEHUKA Japo Huyo Mumewe Waliyezaa Nae Katoto Kamoja Ndiyo KAWEHUKA Sasa KULIKOTUKUKA. Stress Na TALAKA Zinamgharimu Mno Kiutendaji Huyo Dada Japo Kwa Sasa Kuna Pedeshee Moja Humo Humo GPL Inabandua KISELA. Naomba Niishie Hapa Tu Kwa Leo!
Daah, nimeamini Jamii forum kuna watu mna porojo za Vijiweni, Kwanza kabisa Hiki ulichokiandika ni Stori za kusadikika. Mimi Sijawahi kumfumania mke wangu, na wala Sijawahi kumpa Talaka. Jaribu kutunga uongo mwingine.Huyo Secretary Msamehe Tu Mkuu Kwani Tokea Aachane Na Mumewe Mr. Luqman Maloto Ambaye Alikuwa Mwandishi Mwandishi Na Kiongozi Hapo Kwa Kosa La Kufaniwa AKILIWA Uroda Na NJEMBA Moja Hivi Ipo Hapo Jengo La Nyuma MKABALA Na TSN Supermarket Ni Kama Vile AMEWEHUKA Japo Huyo Mumewe Waliyezaa Nae Katoto Kamoja Ndiyo KAWEHUKA Sasa KULIKOTUKUKA. Stress Na TALAKA Zinamgharimu Mno Kiutendaji Huyo Dada Japo Kwa Sasa Kuna Pedeshee Moja Humo Humo GPL Inabandua KISELA. Naomba Niishie Hapa Tu Kwa Leo!