Kumbe wanayo ofisi !!!
Uliacha namba ya simu bila hela ya vitumbua.
ninavyojua mimi global huwezi kufika mapokezi kabla ya kukutana na mlinzi ambaye anaweza kukuruhusu baada ya mahojiano. mlangoni kuna tangazo la jitambulishe (kwa mlinzi) na kama ulifika mapokezi na hukuwa na mawasiliano na shigongo ya simu, basi hukuacha namba za simu, uliacha ujumbe tu wa kutaka kuonana na shigongo. mbona mimi nilishabahatika kufika na kuacha namba na nikapigiwa simu mara moja! kuwa mkweli ndugu.
Yuk nilikuwa sifahamu kuwa kuna watu wana"bahatika" kuonana na his excellency Shi-rungu!ninavyojua mimi global huwezi kufika mapokezi kabla ya kukutana na mlinzi ambaye anaweza kukuruhusu baada ya mahojiano. mlangoni kuna tangazo la jitambulishe (kwa mlinzi) na kama ulifika mapokezi na hukuwa na mawasiliano na shigongo ya simu, basi hukuacha namba za simu, uliacha ujumbe tu wa kutaka kuonana na shigongo. mbona mimi nilishabahatika kufika na kuacha namba na nikapigiwa simu mara moja! kuwa mkweli ndugu.
Habari ya Bamaga mkuu!vipi OFM inaanzia wapi kipindi cha sikukuu
Kwa nn nidanganye? Kwa faida gani? Nisene uongo kukufurahisha wewe? Km wewe ulipigiwa mimi sikupigiwa nielewe hivyoninavyojua mimi global huwezi kufika mapokezi kabla ya kukutana na mlinzi ambaye anaweza kukuruhusu baada ya mahojiano. mlangoni kuna tangazo la jitambulishe (kwa mlinzi) na kama ulifika mapokezi na hukuwa na mawasiliano na shigongo ya simu, basi hukuacha namba za simu, uliacha ujumbe tu wa kutaka kuonana na shigongo. mbona mimi nilishabahatika kufika na kuacha namba na nikapigiwa simu mara moja! kuwa mkweli ndugu.
Bongo bhana tabu kweli kweli, eti kukuona Shigongo amrkuwa doctor ama? Hata hao mawaziri Ukienda ofisini mwao unawaona Bila urasimu huu, sasa mtu yupo ofisini eti huwezi kumuona hadi appointment, what a fucccvcck