Mapito ya career woman

Mapito ya career woman

Status
Not open for further replies.

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
12,130
Reaction score
33,523
Kumekua na kasumba ya jamii kuamini mwanamke mwenye miaka 18-24 bado ni mdogo kuolewa. Katika umri huo anatakiwa kutengeneza career yake kwanza. Leo embu tuangazie mapito ya career woman.

Anamaliza form 6 akiwa na miaka 18 au 19, hapa makadirio ya chini body count inasoma 3 au 4, wachache huwa wanapita hii hatua wakiwa bikira. Baada ya hapo anaenda chuo.

Huyu career woman ambae familia na jamii inasema bado mdogo kuingia kwenye ndoa, uko chuo anaishi kwenye ndoa bubu.

She is playing house wife with her boyfriend. She is giving him free sex, cooking for him and washing his clothes, all for a boy who will never marry her

Kumbuka kwenye ndoa bubu napo kuna michepuko pia. Wakati career woman anatoa huduma zote kama mke kwa boyfriend wake, kuna sugar daddies watatu, malecturer kama 5 hivi , yule mubaba mume wa mtu na yule kaka anafanya kazi TBL wote wapo kwenye sexroll ya career woman.

Kumbuka kuna Sheby bodaboda kwa ajiri ya safari zake, kuna Jembe muuza chipsi wa kumrekebishia masuala ya msosi, kuna Q-boy pamba kali kwa ajiri ya kumpendezesha, kuna yule baunsa wa ile club maarufu kwa ajiri ya free entry kila wikiend akiingia hicho kiwanja. Unajua career woman anawalipa nini in-return hawa watu? sikwambii.

Ooh.! nilitaka kusahau kuna events zinaitwa house party. Katika hizi shughuli kundi la wanafunzi jinsia ME na KE wanakodi nyumba siku mbili mfululizo wanajifungia ndani. Humo ndani ni mwendo wa pombe, bangi, shisha na ufuska. Siku mbili zikiisha career woman anatoka hana bikira hata moja, matundu yote kwishnei.

Huyo ndio career woman. Nawaonea huruma sana masimp

Career woman anamaliza chuo body count inasoma 100+ sasa hapa ndio anarudi nyumbani. Guess what?

Her family will package her as "ready for marriage", and the worst part they will expect you a man who spent years grinding, sacrificing and building yourself to settle for her.

You have been disciplined, focused, invested in yourself and worked tirelessly to build your value. Meanwhile she's been hopping from bed to bed, squandering her youth and disrespecting herself in the name of building her career. Now you are supposed to accept her with open arms. Don't be that dump fool simp.

Zawadii bora zaidi ambayo mwanamke anaweza kumpa mume wake ni bikira. Bikira ni kiwakilishi cha kujiheshimu, nidhamu, na mwanamke kujithamini. Mwanamke aliejitunza ni mwanamke ambae anajua thamani yake na thamani yako mumewe mtarajiwa.

If you want a peaceful marriage marry a fresh, young and submissive housewife. Stay away from woman who has been passed around, giving herself freely to badboys, sugar daddies, lectureres and randomly strangers in the name of building a career, such women has nothing left to offer except regret and baggage. You don't need that in your life.

Don't be a simp.
 
Ok shukran mkuu
But umejikita Sana kujenga hoja kumzunguka msomi yaan mwanachuo ......
Hicho ndicho kipindi ambacho mwanamke anakua kwenye umri ambao jamii ya kisasa inaamini mwanamke bado mdogo kuolewa, halafu ukiangalia rekodi yake kimahusiano unakuta ni bora angeolewa tu ili anayoyafanya akayanyie ndoani na mumewe halali.
 
Nilikuwa nikisoma nikichoka kabla ya kwenda kulala, naita anakuja block F pale bibo hostel,anakaa kwa meza zile kitchen and dining, napiga romance ya kutosha miguu kwenye bega nachomeka,namaliza naenda oga nalala kesho nawahi lecture.
Ile jioni wanasali pale uwanja wa basket nimempakata huku imo ndani tunapiga stori. Jamani acheni Maisha ya chuo,tukifunga chuo nabakia hostel floor nzima mnaishi wawili, unatembea uchi kwenda bafuni.
Yaani huyu mdada bana nikapotezana Naye , mwenyeji wa tanga , Kama anajijua nimemmisi mno ana vimeno vya kuungua Kama kashata za karanga. Sema nisije nikavunja ndoa za watu
 
Na uyo demu nyumbani kwao wanasema bado mdogo kuolewa, anatakiwa kutengeneza career yake kwanza
 
Punguza bas kizungu mbona unajua kuandika swahili vzr sana.

Mke mwema atoka kwa Mungu, na mda mwingne mke mwema huwa ni suala la bahati tu.

Anaweza akawa bikra na mwisho wa sku ndoa ikafa na anaweza akawa bikra lakin baada ya kumbikiri tu akajua utamu wa mb@@ ndo akazibuka na ndoa ikawa chungu.
 
Ni kweli ila ume exaggerate sana mkuu. Uliyemzungumzia hapo sio career women, ni malaya. Kwa career women, kuishi na boyfriend pika pakua ni common vyuoni. Otherwise anajiheahimu sana atakua na kijana wa chips na mubaba wa kumhudumia. In short career women zinachapwa sana wakiwa vyuoni, ila wazazi huwa hawajui maskini, akimaliza mzazi anaona sasa binti yangu anaweza olewa tena kwa mahari ya heshima.
 
Nilikuwa nikisoma nikichoka kabla ya kwenda kulala, naita anakuja block F pale bibo hostel,anakaa kwa meza zile kitchen and dining, napiga romance ya kutosha miguu kwenye bega nachomeka,namaliza naenda oga nalala kesho nawahi lecture.
Ile jioni wanasali pale uwanja wa basket nimempakata huku imo ndani tunapiga stori. Jamani acheni Maisha ya chuo,tukifunga chuo nabakia hostel floor nzima mnaishi wawili, unatembea uchi kwenda bafuni.
Yaani huyu mdada bana nikapotezana Naye , mwenyeji wa tanga , Kama anajijua nimemmisi mno ana vimeno vya kuungua Kama kashata za karanga. Sema nisije nikavunja ndoa za watu
Kuna mwana kaoa na anajisifu amepata mke. Life 😤
 
Punguza bas kizungu mbona unajua kuandika swahili vzr sana.

Mke mwema atoka kwa Mungu, na mda mwingne mke mwema huwa ni suala la bahati tu.

Anaweza akawa bikra na mwisho wa sku ndoa ikafa na anaweza akawa bikra lakin baada ya kumbikiri tu akajua utamu wa mb@@ ndo akazibuka na ndoa ikawa chungu.
Mkuu mtoa uzi wala hajahusianisha kuvunjika kwa ndoa na mwanamke aliyetumika sana, kahusianisha imani ya wazazi na jamii kuwa binti wa 18-24 bado mdogo hafai kuolewa, anatakiwa atengeneze career yake kwanza. Kumbe ukweli ni kwamba kwenye hio process ya kutengeneza career wanatumikia ndoa na ngono kuliko mwanamke aliyeolewa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom