Mapishi ya biriani

hii pizza nayo nimeijua juzi baada ya kununua nikidhani ni sambusa kubwa, ila pizza nilikuwa naisikia tu pamoja na burger kumbe ni jamii moja na maandazi, skonzi, mikate, chapati, mzigo wa kuni, visheti, keki na jamii zingine zinazopikwa kwa unga wa ngano. Tofauti ni miundo na vikorombwezo ila ni jamii moja ya vyakula
 
Haya makitu bora tu ninywe supu ya kichwa cha ng'ombe 🤣🤣
 
Skonsi iliyowekwa nyama katikati inaitwa baga sio pizza ndugu.. pizza ni ile inayokua mifano wa chapati
mbona niliuziwa chakula kimekaa mithili ya sambusa ila ni kikubwa na kina pembe nne ndani kuna yai la kuchemshwa na viungo kama kitunguu, hoho, kabeji, choroko nikauliza hii nini nikajibiwa ni pizza. Sasa hiyo kama chapati nayo ni pizza?
 
Wali maharagwe na mboga za majani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…