Mapinduzi ya kijeshi Afrika

Apr 9, 2012
78
8
Kuna upepo wa mapinduzi ya kijeshi umeanza Afrika baada ya Mali sasa ni Guine iko hatari upepo huu ukakumba nchi za Afrika nyingi binafsi naomba mungu aepushe kwetu maana mapinduzi haya ni sawa na kuwa vitani nchi inapolomoka kila kitu elimu ya watoto inasimama kwa muda mrefu ni hatari nchi zinaingia kwenye machafuko ukweli mapinduzi haya inaonyesha watawala na jeshi wanaanza kutoelewana kimaslahi wakati wafanyakazi maraia wanafanya maendeleo makubwa wanajeshi wanaona na kugugumia mwishowe ndio wanashawishika kwa niaya kusema tukose wote naomba tuombe taifa letu na upepo huu wa tsunami mpya ya wanajeshi wa nchi za Afrika
 
Back
Top Bottom