Mapinduzi katika nchi za Kiarabu kaskazini mwa Afrika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapinduzi katika nchi za Kiarabu kaskazini mwa Afrika

Discussion in 'International Forum' started by Thomas Odera, Jan 30, 2011.

 1. Thomas Odera

  Thomas Odera Verified User

  #1
  Jan 30, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 644
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Ni nini hasa kimesababisha hali kuwa hivo? Je ni kuporomoka kwa uchumi wa nchi hizo au ni wananchi wamechoka kuona utawala moja unakaa madarakani muda mrefu na pia bila chaguzi huru?
   
 2. eliakeem

  eliakeem JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 2,918
  Likes Received: 1,027
  Trophy Points: 280
  Hiyo ni sababu moja wapo, lakini kubwa ni utawala wa kislamu wa kiimla. Kwa sababu uislam si dini, kama dini nyingine ambazo huwa zinaeleza waumini wao kuwa hapa duniani tunapita tu, lakini uislam unakuwa hapa kama ndiyo mwisho, hamna maisha mengine. Ukiangalia ndiyo maana hakuna tofauti ya dini ya kiislamu na siasa. Hilo linapelekea kuwa na nchi zinazo tawaliwa kwa kutumia sheria za kiislamu. kama iran. Kwa upande mwingine biblia inapinga kujiingiza kwenye siasa za nchi. mathalan, Yesu Kristo alipokamatwa ili afanywe mfalme wa Wayahudi, alisema kuwa ufalme wake si wa hapa duniani hii. Akakimbia hakutaka awe mfalme. Hivyo ukristo hauingilii wala kupinga siasa (licha ya kuwa kuna wanadini wanoingia kwenye siasa kimakosa) lakini kwa uislam ni tofauti, unaingilia siasa.
   
 3. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hapana, hebu leta facts za uhakika ili ueleweke vizuri ktk hoja zako hapo juu.
   
Loading...