Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 50,277 Reaction score 123,718 Jan 6, 2023 Thread starter #81 Bila bila said: Wanacholalamikia ni kwamba refa kanyoosha mkono juu kabla ya faulo kupigwa kitendo kilichoashiria ni indirect kick. Click to expand... Okay
Bila bila said: Wanacholalamikia ni kwamba refa kanyoosha mkono juu kabla ya faulo kupigwa kitendo kilichoashiria ni indirect kick. Click to expand... Okay
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,210 Reaction score 40,652 Jan 6, 2023 #82 Scars said: Sheria za mpira ni ngumu Click to expand... Nikweli kabisa,ila kwa hiyo free kick sijaona Kosa la refa
Scars said: Sheria za mpira ni ngumu Click to expand... Nikweli kabisa,ila kwa hiyo free kick sijaona Kosa la refa
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,210 Reaction score 40,652 Jan 6, 2023 #83 Huyu kipa wa Singida anamuumiza sana Mwigulu 😀
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 50,277 Reaction score 123,718 Jan 6, 2023 Thread starter #84 Yanga imefanya counter attack hapa ya hatari lakini shambulizi limezimwa
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,210 Reaction score 40,652 Jan 6, 2023 #85 Scars said: Yanga imefanya counter attack hapa ya hatari lakini shambulizi limezimwa Click to expand... Kipa kazingua 😀
Scars said: Yanga imefanya counter attack hapa ya hatari lakini shambulizi limezimwa Click to expand... Kipa kazingua 😀
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,210 Reaction score 40,652 Jan 6, 2023 #86 4+
I inchaji JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 2,650 Reaction score 5,461 Jan 6, 2023 #87 uto nasikia mmeweka Z-Pesa
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 50,277 Reaction score 123,718 Jan 6, 2023 Thread starter #88 Clement sijui alimbweraje pale?
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 50,277 Reaction score 123,718 Jan 6, 2023 Thread starter #89 HT
J jombaa askari JF-Expert Member Joined Sep 27, 2017 Posts 494 Reaction score 531 Jan 6, 2023 #90 Ngushi hamna kitu pale
Kilimbatz JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 4,331 Reaction score 5,866 Jan 6, 2023 #91 Twende kazi Wananchi
mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 22,312 Reaction score 55,973 Jan 6, 2023 #92 Chukwu emeka said: Halafu prematch meeting ilikuwaje wakaruhusu kipa wa Yanga kuvaa jezi sawa na Singida Click to expand... Nadhani kwa makipa haina shida niliwahi kuona Epl kitu kama hicho
Chukwu emeka said: Halafu prematch meeting ilikuwaje wakaruhusu kipa wa Yanga kuvaa jezi sawa na Singida Click to expand... Nadhani kwa makipa haina shida niliwahi kuona Epl kitu kama hicho
curie JF-Expert Member Joined Oct 25, 2020 Posts 1,066 Reaction score 2,496 Jan 6, 2023 #93 Madely yuko upande upi mlio karbu nae
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,210 Reaction score 40,652 Jan 6, 2023 #94 mdukuzi said: Nadhani kwa makipa haina shida niliwahi kuona Epl kitu kama hicho Click to expand... Inaweza kumvuruga refa asipokuwa makini
mdukuzi said: Nadhani kwa makipa haina shida niliwahi kuona Epl kitu kama hicho Click to expand... Inaweza kumvuruga refa asipokuwa makini
mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 22,312 Reaction score 55,973 Jan 6, 2023 #95 Chukwu emeka said: Inaweza kumvuruga refa asipokuwa makini Click to expand... Distance ya kipa na kipa ni kubwa sana na ni ngumu kwa wao kucollide
Chukwu emeka said: Inaweza kumvuruga refa asipokuwa makini Click to expand... Distance ya kipa na kipa ni kubwa sana na ni ngumu kwa wao kucollide
Dormant Account JF-Expert Member Joined Apr 5, 2022 Posts 11,307 Reaction score 32,791 Jan 6, 2023 #96 Mtumbwi now unaandaliwa
changaule JF-Expert Member Joined Jan 10, 2020 Posts 6,047 Reaction score 10,159 Jan 6, 2023 #97 mdukuzi said: Distance ya kipa na kipa ni kubwa sana na ni ngumu kwa wao kucollide Click to expand... Jezi ya kipa wa Yanga imefanana na jezi ya wachezaji wa Singida big stars
mdukuzi said: Distance ya kipa na kipa ni kubwa sana na ni ngumu kwa wao kucollide Click to expand... Jezi ya kipa wa Yanga imefanana na jezi ya wachezaji wa Singida big stars
Bila bila JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 22,624 Reaction score 39,995 Jan 6, 2023 #98 Scars said: Okay Click to expand... Kosa ni la refa maana pale Hakuna sababu ya indirect kick wakati kosa lililotendwa linaadhibiwa Kwa direct kick.
Scars said: Okay Click to expand... Kosa ni la refa maana pale Hakuna sababu ya indirect kick wakati kosa lililotendwa linaadhibiwa Kwa direct kick.
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,210 Reaction score 40,652 Jan 6, 2023 #99 Sekandi hafu......
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 50,277 Reaction score 123,718 Jan 6, 2023 Thread starter #100 changaule said: Jezi ya kipa wa Yanga imefanana na jezi ya wachezaji wa Singida big stars Click to expand... Jezi ya kipa wa Singida ina blue ile ya nyeusi, wakati Yanga ni blue ile ya anga kama jezi za wachezaji wa ndani wa Singida walizovaa Bado haitoshi kuwatofautisha?
changaule said: Jezi ya kipa wa Yanga imefanana na jezi ya wachezaji wa Singida big stars Click to expand... Jezi ya kipa wa Singida ina blue ile ya nyeusi, wakati Yanga ni blue ile ya anga kama jezi za wachezaji wa ndani wa Singida walizovaa Bado haitoshi kuwatofautisha?