Kilicho nifurahisha zaidi ni kuona Yanga imewaacha wachezaji wake muhimu kwa ajili ya mashindano muhimu ili wasipate injury na kuwapa nafasi wachezaji wale ambao sio tegemezi
Lakini Kisinda eti hakuwepo
Maanake huyu ni mchezaji tegemezi kwenye mechi muhimu
Aah hii nchi ina vituko sana