mpiga vichwa JF-Expert Member Joined Oct 21, 2021 Posts 2,547 Reaction score 4,013 Jan 6, 2023 #181 Scars said: Dakika 8 zimeongezwa!! Hiyo inaitwa mpaka Yanga ishinde Click to expand... Sare ingekuwa inambeba Yanga zingeongezwa dk 2 Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Scars said: Dakika 8 zimeongezwa!! Hiyo inaitwa mpaka Yanga ishinde Click to expand... Sare ingekuwa inambeba Yanga zingeongezwa dk 2 Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,210 Reaction score 40,652 Jan 6, 2023 #182 OKW BOBAN SUNZU said: Mwigulu katutelekeza Utopolo Click to expand... ππ
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 35,667 Reaction score 70,303 Jan 6, 2023 #183 Chukwu emeka said: Kwa msimu huu tuwaachie Azam tu Click to expand... Yah hebu tukajiandae na makombe ya CAF huko na ligi kuu
Chukwu emeka said: Kwa msimu huu tuwaachie Azam tu Click to expand... Yah hebu tukajiandae na makombe ya CAF huko na ligi kuu
joseph1989 JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 18,935 Reaction score 40,151 Jan 6, 2023 #184 Lupweko said: Yaani avumilie kufungiwa ndani miezi minne halafu awaachie tena? Ndo kwanza amekuja Click to expand... Wa wanche.
Lupweko said: Yaani avumilie kufungiwa ndani miezi minne halafu awaachie tena? Ndo kwanza amekuja Click to expand... Wa wanche.
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,210 Reaction score 40,652 Jan 6, 2023 #185 Kalpana said: Yah hebu tukajiandae na makombe ya CAF huko na ligi kuu Click to expand... Yeah nikweli kabisa
Kalpana said: Yah hebu tukajiandae na makombe ya CAF huko na ligi kuu Click to expand... Yeah nikweli kabisa
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 24,940 Reaction score 26,796 Jan 6, 2023 #186 Kalpana said: Yah hebu tukajiandae na makombe ya CAF huko na ligi kuu Click to expand... Chukwu emeka said: Yeah nikweli kabisa Click to expand... Naona watani wawili mnafarijiana
Kalpana said: Yah hebu tukajiandae na makombe ya CAF huko na ligi kuu Click to expand... Chukwu emeka said: Yeah nikweli kabisa Click to expand... Naona watani wawili mnafarijiana
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 35,667 Reaction score 70,303 Jan 6, 2023 #187 Lupweko said: Naona watani wawili mnafarijiana Click to expand... Kabisaa hahahha
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,210 Reaction score 40,652 Jan 6, 2023 #188 Lupweko said: Naona watani wawili mnafarijiana Click to expand... Ndiyo maana halisi ya utani
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 35,667 Reaction score 70,303 Jan 6, 2023 #189 Chukwu emeka said: Ndiyo maana halisi ya utani Click to expand... Yah utani sio ugomvi wala matusi.. Sema ni maneno fulani tuu ya kukera sana hahaha
Chukwu emeka said: Ndiyo maana halisi ya utani Click to expand... Yah utani sio ugomvi wala matusi.. Sema ni maneno fulani tuu ya kukera sana hahaha
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,210 Reaction score 40,652 Jan 6, 2023 #190 Full time
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,210 Reaction score 40,652 Jan 6, 2023 #191 1-1
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,210 Reaction score 40,652 Jan 6, 2023 #192 Azam FC vs Singida BS
Designer_3434 JF-Expert Member Joined Dec 4, 2015 Posts 4,930 Reaction score 3,981 Jan 6, 2023 #193 Acha wapigwe tu
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,210 Reaction score 40,652 Jan 6, 2023 #194 Kalpana said: Yah utani sio ugomvi wala matusi.. Sema ni maneno fulani tuu ya kukera sana hahaha Click to expand... Yeah π
Kalpana said: Yah utani sio ugomvi wala matusi.. Sema ni maneno fulani tuu ya kukera sana hahaha Click to expand... Yeah π
kelphin JF-Expert Member Joined Dec 24, 2019 Posts 10,434 Reaction score 17,203 Jan 6, 2023 #195 Kambole bwana
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 35,667 Reaction score 70,303 Jan 6, 2023 #196 Na mpiiiiiiraaaaaaa umekwishaaaaa Karibuni sana Mabingwa watetezi wa Ligi Tanzania Bara Mtakuja na mtumbwi au tuwaletee Mashua
Na mpiiiiiiraaaaaaa umekwishaaaaa Karibuni sana Mabingwa watetezi wa Ligi Tanzania Bara Mtakuja na mtumbwi au tuwaletee Mashua
Dr am 4 real PhD JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 18,374 Reaction score 37,197 Jan 6, 2023 #197 Mashua ya ngawala....
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 35,667 Reaction score 70,303 Jan 6, 2023 #198 Bantu Lady umelala??? Njoo tupange mipango ya kwenda kuwapokea kaka zako
Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 9,871 Reaction score 32,691 Jan 6, 2023 #199 Kalpana said: Bantu Lady umelala??? Njoo tupange mipango ya kwenda kuwapokea kaka zako Click to expand... Wamepigana kiume, siyo kaka zako wewe sijui walienda Vacation Zanzibar ππππ
Kalpana said: Bantu Lady umelala??? Njoo tupange mipango ya kwenda kuwapokea kaka zako Click to expand... Wamepigana kiume, siyo kaka zako wewe sijui walienda Vacation Zanzibar ππππ
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 35,667 Reaction score 70,303 Jan 6, 2023 #200 Bantu Lady said: Wamepigana kiume, siyo kaka zako wewe sijui walienda Vacation Zanzibar ππππ Click to expand... Wale walitumwa wakapashe misuli it was just mazoezi.... π na kutoa gundu
Bantu Lady said: Wamepigana kiume, siyo kaka zako wewe sijui walienda Vacation Zanzibar ππππ Click to expand... Wale walitumwa wakapashe misuli it was just mazoezi.... π na kutoa gundu