Kocha mpya wa Simba atakuwa na kazi kubwa ya kusuka kikosi kwa kufanya maboresho sehemu nyingi.
Wachezaji wengi waliosajiliwa usajili uliopita viwango vyao ni vidogo sana aisee
Kocha mpya wa Simba pro Robertinho Arantes Pele sijui atakuwa kwenye Hali gani hapo nje..
Picha za marejeo zinamuonesha akikuna kichwa na kufikicha macho yake akiwa haamini anachokiano kutoka kwa wachezaji mahiri wa timu yake.
Vaa miwani kaka.
Bado hajanipa ule ubora, ila sio wa kumbeza eti hakuna mchezaji, kuna pasi kama 3 kapiga ni za moto, zinonesh ana jambo,
Kama huu ndio uwezo wake wa juu kabisa basi simba si saizi yake ila kama hiki ni cha wastani basi apewe muda.