Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,216
- 3,126
TUSISAHAU KUWA SERA YA ARDHI ALIIANDIKA ISSA SHIVJI KWA STAILI ILE ILE ANAYOTAKA KATIBA MPYA IANDIKWE. MATOKEO YAKE NI MIGOGORO YA ARDHI ISIYOISHA NA WAGENI KUJA KUWANYANGANYA WANANCHI ARDHI YAO. MIFANO IKO MINGI, TEGETA NDIO WA LEO TU. TUKIMSIKILIZA SHIVJI TENA LEO KATIKA MASWALA YA KATIBA MATOKEO YAKE TUTACHINJANA KAMA KUKU.
Eneo lenye mgogoro lina ukubwa wa kiasi gani...??
EKARI 104 NI SHAMBA La DANIEL CHACHA mwenye hati miliki ya ardhi hiyo lakini kutokana na madai ya wananchi ya upungufu wa ardhi basi wameamua kuvamia eneo la mtu huyu
Inasikitisha sana...Wananchi wanapoamua kujichukulia sheria mikononi na kuvamia eneo la mtu analomiliki kisheria.
Uhaba wa Arthi..!!!
Tangu lini Tanzania ikawa na uhaba wa Arthi??!!
Wananchi wameamua kuwa wakorofi sijui ni elimu duni, tamaa au jeuri tu!!!!