Mapigano makali kati ya Zambia na Congo

lewiathan

Senior Member
Jan 17, 2019
193
281
Mapigano makali yametokea Mapakan kat ya Congo na Zambia,

Inasemakana Wanajesh wa Congo waliitwa waingie Zambia wakiwa na Combat zao baaday wao Kugoma kuwa hawana taarfa yyte ndipo askal kama wa4 wa zambia walipo enda na Speed Boat zzao walipo fika wakachana Bendera ya Congo.

Askal wa Congo walkuwa 3 wawil walipoona hvyo wakaondoka mmoja akaona hii zarau sasa akaingia ndan akatoka na chuma,
Akampiga mmoja Askal wa zambia mguun alvyoona wametahamak akampiga mwingne kifuan na wale wawl walvyoona mwenzao anapambana wakaja ikabd waongeze nguvu wakawazdia wanajesh wa zambia ikabd wakimbie wakaongeze nguvu.

Aise kilchokuja kutokea had helkopta zmehska kutoka zb maana kilnuka mbaya, nmemuona mdgo wa kabila amekuja majesh ya Congo yamejaa Murilo hapa

mpka sasa hakja fahamika chanzo hasa, tusbr update zaid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Apart from hayo, ukitazama mpaka wa Congo na Zambia utashangaa kuna eneo la Congo kama limeingia kwa ndani sana Zambia. Ukiwa unapita kwa njia ya barabara kabla ya kufika Kapirimposhi mkono wa kulia unaweza kushangaa kuona bendera ya Congo kwenye nyumba, ni kama hilo eneo limezungukwa na ardhi ya Zambia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mapigano makali yametokea Mapakan kat ya Congo na Zambia,

Inasemakana Wanajesh wa Congo waliitwa waingie Zambia wakiwa na Combat zao baaday wao Kugoma kuwa hawana taarfa yyte ndipo askal kama wa4 wa zambia walipo enda na Speed Boat zzao walipo fika wakachana Bendera ya Congo.

Askal wa Congo walkuwa 3 wawil walipoona hvyo wakaondoka mmoja akaona hii zarau sasa akaingia ndan akatoka na chuma,
Akampiga mmoja Askal wa zambia mguun alvyoona wametahamak akampiga mwingne kifuan na wale wawl walvyoona mwenzao anapambana wakaja ikabd waongeze nguvu wakawazdia wanajesh wa zambia ikabd wakimbie wakaongeze nguvu.

Aise kilchokuja kutokea had helkopta zmehska kutoka zb maana kilnuka mbaya, nmemuona mdgo wa kabila amekuja majesh ya Congo yamejaa Murilo hapa

mpka sasa hakja fahamika chanzo hasa, tusbr update zaid

Sent using Jamii Forums mobile app

Hebu eleza kiufasaha maana namna ulivyoandika utazani unakimbizwa, ila hapo Morilo ni remote area na maeneo ya Ziwa Tanganyika
 
Kongo wana experience kubwa ya vita ...yaani wao mda wote huwa wapo tayari kukinuksha ...hawaoni hasara

sent from toyota Allex
 
Asante kwa taarifa mkuu
Mapigano makali yametokea Mapakan kat ya Congo na Zambia,

Inasemakana Wanajesh wa Congo waliitwa waingie Zambia wakiwa na Combat zao baaday wao Kugoma kuwa hawana taarfa yyte ndipo askal kama wa4 wa zambia walipo enda na Speed Boat zzao walipo fika wakachana Bendera ya Congo.

Askal wa Congo walkuwa 3 wawil walipoona hvyo wakaondoka mmoja akaona hii zarau sasa akaingia ndan akatoka na chuma,
Akampiga mmoja Askal wa zambia mguun alvyoona wametahamak akampiga mwingne kifuan na wale wawl walvyoona mwenzao anapambana wakaja ikabd waongeze nguvu wakawazdia wanajesh wa zambia ikabd wakimbie wakaongeze nguvu.

Aise kilchokuja kutokea had helkopta zmehska kutoka zb maana kilnuka mbaya, nmemuona mdgo wa kabila amekuja majesh ya Congo yamejaa Murilo hapa

mpka sasa hakja fahamika chanzo hasa, tusbr update zaid

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Not Bad .

Imeni kumbusha movie moja ivi.stering ana kufa kwenye maua

Time is a drug. Too much of it kills you
 
Back
Top Bottom