Mapigano kati ya Wagner group na Jeshi la Urusi yaripotiwa

mzee we endelea kusubiria source hapa subiri kukuche utapata taarifa za ku ushtua moyo wako usipende kutafuniwa tafuniwa ingia Twitter/ Telegram uta kuta mpaka videos Rostov kime nukaaaaa

Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
Chanzo taarifa ni muhimu ni mpaka nimeingia bibisi kudhibitisha sasa mwandishi unaharaka kama cha kwanza, una wahi wapi?
 
Wagner ni mfanyabiashara anayeangalia maslahi so kageuka msaliti na dawa ya msaliti urusi iko wazi.
Hakuna chochote huyo boss wagner anaweza kufanya kushindana na urussi kwanza askari wake wote duniani wanatii amri ya urusi
 
Back
Top Bottom