Mapigano dhidi yako mwenyewe ๐Ÿ’ช

hilo leno nimekutana nalo yutube shemeji langu unakumbuka nilikwambia ntakupa mdogo wangu ila anakunywa konyagi yule ana watoto 3 na wote sio wake.
duh! Mimi natafuta binti sayuni kama naniliii....
Sasa huyo watoto 3 plus kongagi sinitakonda kijana wa watu nione huruma mkuu!
 
duh! Mimi natafuta binti sayuni kama naniliii....
Sasa huyo watoto 3 plus kongagi sinitakonda kijana wa watu nione huruma mkuu!
mabinti sayuni wako wapi cku hizi ndugu yangu wewe ndo umchukue umuombee abadilike na kama shda ni watoto hao watabaki tu kwangu ucjali
 
mabinti sayuni wako wapi cku hizi ndugu yangu wewe ndo umchukue umuombee abadilike na kama shda ni watoto hao watabaki tu kwangu ucjali
Yani hapo mkuu utakuwa umeniongezea msalaba, konyagi kwenye 1 na 2 kabisa aache kirahisi tu! Inahitaji YESU aingilie kati.
 
Humu ile slogan haitumiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ