ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,313
- 41,052
Karibu tena 😊Sawa.
asante.Karibu tena 😊
Safiii💪Hii imeenda yaan well taken
well done ndugu mdau,Natoa angalizo kwa wale wa unashinda JF full-time
Huu ni kama ushauri tu kwamba hii mada inakuhusu isome yote ili uanze leo kupigana na hiyo tabia isiyopendeza ya kufatilia ni nani anaingia online sa ngapi na anatoka saa ngapi
Sisi wengine kuandika ni moja wapo ya enjoyment 😊
Na hii platform sio kama hizo zingine za kupost makalio au kutafuta attention hapa tulio wengi hatufahamiani
na hii inatupa uhuru wa ku share kujifunza kupiga story na kufurahia maisha kwa mtindo huo
kwa wale wote wanaovutiwa na nyuzi zangu guys nipo in love kwenu 🥰 nawapenda sana😊😊
Twende zetu sasa 🤪👇
Mapigano yapo ya aina nyingi Umewahi kusikia nchi fulani ikiwa vitani?
Watu husema nchi A inapigana na nchi B. Hayo huitwa mapigano
Pia kuna mapigano kati ya watu wawili, mtu A na mtu B, kama vile yanavyotokea ulingoni( mtu anapigwa hata kwa TKO)
Hata wanyama nao hupigana mfano kuku, mbuzi na wengine
Lakini je, umewahi kujiuliza kama inawezekana mtu kupigana dhidi ya yeye mwenyewe?
Jibu ni ndiyo, inawezekana kuwa na vita au mapigano dhidi yako mwenyewe
Haya ni mapigano ambayo hayapiganwi kwa ngumi wala silaha, bali ni mapambano ya ndani ya nafsi
Ni pale unapogundua kuna kitu ndani yako ambacho hakikufanyi kuwa mtu unayetaka kuwa, hivyo unaamua kukikabili
Mfano unaweza kujijua kabisa una tabia fulani kama wivu, hasira au kutokuwa na subira
Baada ya muda unagundua tabia hiyo haikusaidii wewe wala jamii inayokuzunguka
Hapo ndipo vita vinaanza siyo dhidi ya mtu mwingine, bali dhidi ya hiyo tabia iliyopo ndani yako
Unaanza kujifunza kujizuia kujirekebisha na kuikataa ile hali ambayo haikupi thamani
Kwa mfano, kama zamani ulikuwa huwezi kukaa nyumbani na kila mara ulitamani kutoka, siku moja hamu hiyo inapokuja unaweza kujikuta ukisema
Hapana, siendi leo(unakaza)
Hapo unakuwa umeanza kupigana dhidi yako mwenyewe unayashinda matamanio yako kwa ajili ya lengo kubwa zaidi
Sasa swali la mjadala👇
Wewe umewahi kuwa na vita au mapigano dhidi yako mwenyewe?
Ni nini kilishinda wewe au kile ulichokuwa unapambana nacho?
Ulipigana kwa muda gani, na ulitumia njia gani kushinda?
Nyongeza👇
Kabla hujaanza mapambano hayo, ni muhimu kujifanyia utafiti wa nafsi yako Jifahamu, tambua tabia zako, haiba yako na vitu vinavyokufanya uwe wewe
Baada ya hapo utaweza kuona kama kuna mambo ndani yako unayoyapenda au kuna mengine ambayo yanahitaji kubadilishwa
Kwa sababu wakati mwingine ushindi mkubwa wa mtu siyo kumshinda mwingine, bali ni kujishinda mwenyewe na kuwa yule mtu ambaye anatamani kuwa
Happy weekend 🔥
ShesRise_1 ✋️
Hapa wale watu wa rohoni ndio wanaelewa zaidi asante sanawell done ndugu mdau,
katika ulimwengu wa roho tunaita mafarakano nafasini, ni vita ambayo mpigaji na mpigwaji ni wewe mwenyewe.
Exactly 👏In fact,
ikiwa imotional stability ya mtu ni madhubuti physically and mentally, ni hakika kwa Neema na Baraka za Mungu mtu huyo anaweza kua mshindi wa kila vita iwe ndani au nje ya nafsi yako.
Huu mfano 😎 anywaywalio dhaifu katika kudhibiti hisia zoa, hujikuta wakishindwa vita nyingi tena rahisi sana mapema mno. Mathalani unaweza kumkuta kijana akiona mbuzi au kuku wakijamiina, nae mbiombio bafuni anaenda kuchukua sheria mkononi na kujimaliza kwa sabuni.
Huku ni kushindwa vita vyako mwenyewe vya kisaikolojia vibaya mno.
Shukran karibu tena mdau🙏🙏I appreciate you very much ndugu mdau, God bless you 🐒
Nimemiss kupigana.Jesus 🤣🤣🤣 we bibi huachi tu
Leo weekend hatukusemi, sisi wenyewe tunapiga misele Jf leo kutwa nzima......Natoa angalizo kwa wale wa unashinda JF full-time
Hauna tabia ya kupigana nayo hukoNimemiss kupigana.
Ungetandika basi dah 😁Leo weekend hatukusemi, sisi wenyewe tunapiga misele Jf leo kutwa nzima......
View attachment 3631675
Natoa angalizo kwa wale wa unashinda JF full-time
Huu ni kama ushauri tu kwamba hii mada inakuhusu isome yote ili uanze leo kupigana na hiyo tabia isiyopendeza ya kufatilia ni nani anaingia online sa ngapi na anatoka saa ngapi
Sisi wengine kuandika ni moja wapo ya enjoyment 😊
Na hii platform sio kama hizo zingine za kupost makalio au kutafuta attention hapa tulio wengi hatufahamiani
na hii inatupa uhuru wa ku share kujifunza kupiga story na kufurahia maisha kwa mtindo huo
kwa wale wote wanaovutiwa na nyuzi zangu guys nipo in love kwenu 🥰 nawapenda sana😊😊
Twende zetu sasa 🤪👇
Mapigano yapo ya aina nyingi Umewahi kusikia nchi fulani ikiwa vitani?
Watu husema nchi A inapigana na nchi B. Hayo huitwa mapigano
Pia kuna mapigano kati ya watu wawili, mtu A na mtu B, kama vile yanavyotokea ulingoni( mtu anapigwa hata kwa TKO)
Hata wanyama nao hupigana mfano kuku, mbuzi na wengine
Lakini je, umewahi kujiuliza kama inawezekana mtu kupigana dhidi ya yeye mwenyewe?
Jibu ni ndiyo, inawezekana kuwa na vita au mapigano dhidi yako mwenyewe
Haya ni mapigano ambayo hayapiganwi kwa ngumi wala silaha, bali ni mapambano ya ndani ya nafsi
Ni pale unapogundua kuna kitu ndani yako ambacho hakikufanyi kuwa mtu unayetaka kuwa, hivyo unaamua kukikabili
Mfano unaweza kujijua kabisa una tabia fulani kama wivu, hasira au kutokuwa na subira
Baada ya muda unagundua tabia hiyo haikusaidii wewe wala jamii inayokuzunguka
Hapo ndipo vita vinaanza siyo dhidi ya mtu mwingine, bali dhidi ya hiyo tabia iliyopo ndani yako
Unaanza kujifunza kujizuia kujirekebisha na kuikataa ile hali ambayo haikupi thamani
Kwa mfano, kama zamani ulikuwa huwezi kukaa nyumbani na kila mara ulitamani kutoka, siku moja hamu hiyo inapokuja unaweza kujikuta ukisema
Hapana, siendi leo(unakaza)
Hapo unakuwa umeanza kupigana dhidi yako mwenyewe unayashinda matamanio yako kwa ajili ya lengo kubwa zaidi
Sasa swali la mjadala👇
Wewe umewahi kuwa na vita au mapigano dhidi yako mwenyewe?
Ni nini kilishinda wewe au kile ulichokuwa unapambana nacho?
Ulipigana kwa muda gani, na ulitumia njia gani kushinda?
Nyongeza👇
Kabla hujaanza mapambano hayo, ni muhimu kujifanyia utafiti wa nafsi yako Jifahamu, tambua tabia zako, haiba yako na vitu vinavyokufanya uwe wewe
Baada ya hapo utaweza kuona kama kuna mambo ndani yako unayoyapenda au kuna mengine ambayo yanahitaji kubadilishwa
Kwa sababu wakati mwingine ushindi mkubwa wa mtu siyo kumshinda mwingine, bali ni kujishinda mwenyewe na kuwa yule mtu ambaye anatamani kuwa
Happy weekend 🔥
ShesRise_1 ✋️
Sina🤣🤣🤣Hauna tabia ya kupigana nayo huko
Nikifanikiwa kumpiga basi nimemaliza kila kitu.Mpaka upigane na mbabu wa watu🤣
Platinum crush yuuu tu😊My platinum crush. 😊
Umeanza we nae, si umekataza kufuatiliana!!Ungetandika basi dah 😁