oba JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 310 Reaction score 66 Apr 20, 2012 #1 Jamani kuna hoja imesemwa bungeni sasa hivi na mmoja wa wabunge kuwa kuna mapepo yameingia bungeni hata kupelekea ufisadi wa baadhi ya mawaziri na wengine kuutetea. Ameomba waalikwe mapadri na masheikh wawaombee Hili lawza kuwa kweli Nawasilisha!
Jamani kuna hoja imesemwa bungeni sasa hivi na mmoja wa wabunge kuwa kuna mapepo yameingia bungeni hata kupelekea ufisadi wa baadhi ya mawaziri na wengine kuutetea. Ameomba waalikwe mapadri na masheikh wawaombee Hili lawza kuwa kweli Nawasilisha!
toghocho JF-Expert Member Joined Mar 16, 2011 Posts 1,172 Reaction score 198 Apr 20, 2012 #2 mapepo? ndio kisingizio siku hizi, mapepo mapepo na wewe unasema eti 'yaweza kuwa kweli' nini mashaka kama unafikiri kwa kutumia ubongo, mkuu!!!
mapepo? ndio kisingizio siku hizi, mapepo mapepo na wewe unasema eti 'yaweza kuwa kweli' nini mashaka kama unafikiri kwa kutumia ubongo, mkuu!!!
M Mgaya D.W JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 965 Reaction score 476 Apr 20, 2012 #3 Wao ndiyo mapepo wanaokwiba mali za wote.
Angel Msoffe JF-Expert Member Joined Jun 21, 2011 Posts 6,781 Reaction score 1,658 Apr 20, 2012 #4 hao mawaziri wenye mapepo waje huku kwa wananchi wenye hasira kali tuwapepee yatatoka na ufisadi watauogopa kama ukoma
hao mawaziri wenye mapepo waje huku kwa wananchi wenye hasira kali tuwapepee yatatoka na ufisadi watauogopa kama ukoma
Mungi JF Gold Member Joined Sep 23, 2010 Posts 16,975 Reaction score 9,580 Apr 20, 2012 #5 Shetani wa mtu ni mtu mwenyewe, ccm waache kusingizia pumbavu zao!
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,559 Reaction score 11,496 Apr 20, 2012 #6 Dah wanayo kweli
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,234 Apr 20, 2012 #7 duh . . . .
Bigjahman JF-Expert Member Joined Jan 5, 2011 Posts 911 Reaction score 524 Apr 20, 2012 #8 iv yule mchawi mbunge wa ccm tanga anaitwa nani?uyo ndo kaleta ayo mapepo kama vp wamtoe kwanza ubunge,ujue jasiri haachi asili ivoo
iv yule mchawi mbunge wa ccm tanga anaitwa nani?uyo ndo kaleta ayo mapepo kama vp wamtoe kwanza ubunge,ujue jasiri haachi asili ivoo
james chapacha JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 939 Reaction score 200 Apr 20, 2012 #9 Bigjahman said: iv yule mchawi mbunge wa ccm tanga anaitwa nani?[MAJI MAREFU[uyo ndo kaleta ayo mapepo kama vp wamtoe kwanza ubunge,ujue jasiri haachi asili ivoo Click to expand... Inawezekana ni yale yaliyofukuzwa na mama Rwakatale kanisani kwake yamekimbilia mjengoni
Bigjahman said: iv yule mchawi mbunge wa ccm tanga anaitwa nani?[MAJI MAREFU[uyo ndo kaleta ayo mapepo kama vp wamtoe kwanza ubunge,ujue jasiri haachi asili ivoo Click to expand... Inawezekana ni yale yaliyofukuzwa na mama Rwakatale kanisani kwake yamekimbilia mjengoni
M Mmwaminifu JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 1,129 Reaction score 302 Apr 20, 2012 #10 toghocho said: mapepo? ndio kisingizio siku hizi, mapepo mapepo na wewe unasema eti 'yaweza kuwa kweli' nini mashaka kama unafikiri kwa kutumia ubongo, mkuu!!! Click to expand... Mkuu huyu mheshimiwa anaweza kuwa anatumia M.asabur.i?
toghocho said: mapepo? ndio kisingizio siku hizi, mapepo mapepo na wewe unasema eti 'yaweza kuwa kweli' nini mashaka kama unafikiri kwa kutumia ubongo, mkuu!!! Click to expand... Mkuu huyu mheshimiwa anaweza kuwa anatumia M.asabur.i?