Mapenzi

bulama

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2012
Posts
568
Reaction score
138
Jamani nina mpezi ninamzidi miaka 16, kwa sasa tunapendana sana. Je, kweli huu upendo wetu utadumu. Naomba majibu kwa wenye uzoefu.
 
mhm hapo mnapoteza muda...enjoy the moment tho. wee mke mume?
 
Sasa sisi tutajua vipi wakati nyie ndio mnapendana?
 
Sahivi mnapendana na unamzidi 16, kwanini upendo usidumu kisa hiyo 16?

au una mpango wa kumzidi zaidi ya hapo.....!!! teh

Age is just a number.
 
Kama wote ni watu wazima, miaka haijalishi, usishangae wewe unaweza kuwa mdogo katika Mapenzi
 
juzijuzi c mlishauri juu ya age diference nyie leo mnamruka tena
 
Wewe ni me au ke?? Kama ke kunaweza kuwa na shida lkn inategemea na physical apperance, na factor nyingine kama pesa na mapenzi ya kweli
 
Mimi naona kuna tofauti kubwa sana ya mental maturity kati yenu ambayo baadae itawasumbua kiasi chake. Kumpita mtu 16 years then uishi naye kama mshauri na kampan yako seems like ni changamoto.

Pia kumbuka kuna wakati wewe utakuwa umezeeka na huyo mwenzako atakua bado ana mahitaji ya ujana ujana na wewe hutaweza kuyatimiza ipasavyo kutokana na umri kwenda sana so itakupelekea kuwa na wasaidizi wa ndoa yako.

Otherwise, ndoa sio upendo pekee yake mkuu, Kama ndivyo kungekua na ndoa nyingi sana na devorce nyingi sana maana kuna wakati moyo huupumbaza ubongo kwa kitambo na akili ikirudi sawasawa utatamani hata uhame nchi ili utengane naye. hapo moyo unaanza kupoa na kuruhusu akili ifanye kazi yake sawasawa.
 

Naunga mkono hoja
 
age aint nothing but a number....ila hakikisha tu kuwa kazidi miaka 18.
 

Hii nimeisoma na kuielewa lkn kwa sasa tumekuwa 'blinded'na penzi mpaka huko mbele tumeshindwa kupafikilia.
 
Ndio maana ndoa/mahusiano mengi yamekuwa na purukushani zisizo na kichwa wala miguu mkuu.

Hii nimeisoma na kuielewa lkn kwa sasa tumekuwa 'blinded'na penzi mpaka huko mbele tumeshindwa kupafikilia.
 
Utakapokua na 40 yy ana 24 hapo ndipo vijana wenzie watakapokumegea mpaka uchanganyikiwe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…