Mapenzi

Mapenzi

chromosome

New Member
Joined
May 28, 2012
Posts
3
Reaction score
1
jamani kuanzia leo mimi nasema mapenzi basi. nimemkuta mpenzi wangu akiliwa denda na mjomba wangu.
umri wa mjomba wangu ni 14yrs na wa mpnz wangu mimi ni 22yrs.
 
mjomba ni 14 au 41??

Kama ni 14 endelea naye tu, hao watoto wanafundishana tu.

Kwani wewe una miaka mingapi?
 
wewe chromosome,hii ya kwako si gametic? so lazima iproduce four daughter cells? basi hayo ndo matokeo.
 
Last edited by a moderator:
a a......hebu tueleweshe ili tuweze kukusaidia.....
mapenzi ni matamu sana bana,,,,,usiache......
 
mjomba ni 14 au 41??

Kama ni 14 endelea naye tu, hao watoto wanafundishana tu.

Kwani wewe una miaka mingapi?

hivi sasa Kongosho! huyu shangazi mtu anamfundisha nini mtoto? binafsi nimecheka sana
 
Last edited by a moderator:
jamani kuanzia leo mimi nasema mapenzi basi. nimemkuta mpenzi wangu akiliwa denda na mjomba wangu.
umri wa mjomba wangu ni 14yrs na wa mpnz wangu mimi ni 22yrs.

wakati mjomba anakula denda mikono yake alikuwa ameshika sehemu gani......... isijekuwa alipaliwa na maji so Shem alikuwa anamsaidia kutafuta pumzi..........
 
Mh!Hebu ngoja nirudie kusoma!
 
pole wangu,ila kama ni miaka 14 sioni haja ya kumwacha,by the way ni tendo la aibu sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom