<br />
<br />
hahahaha! First born hili lisredi lisije likawa la fre style. Lol.
B2T: Mapenzi hayatabiriki. Yupi mkweli yupi muongo huwezi kujua. Kikubwa kama unahisi moyo wako umempenda flani, mpende bila kuhofu kutendwa. Hizi hofu tunazozijenga ndio huwa chanzo kikubwa cha usaliti maana tunapenda robo robo tukihofia kutendwa.